No more boss ladies chini ya utawala wa Magufuli

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,116
Dada zetu wale wanaojiita boss ladies hapa mjini watataabika saaana baada ya wanaowafadhili na kuwaweka mjini kwa kuwapa kiburi cha fedha kubanwa vilivyo na serikali ya awamu ya tano...

Amini usiamini wafadhili wa Hawa mastaa uchwara wengi wao ni wakwepa kodi wazuri , wezi wa serikali sehemu tofauti tofauti, wauza unga na watu wasiopata fedha kihalali.

Sasa hivi tunapoelekea hakuna kupata hela kwa njia haramu tena . shughuli IPO kwa dada zetu wanaopenda mteremko lazma waisome namba penda wasipende.

Mapedeshee lazma wajifiche maana ukionekana ni MTU wa kuhonga na kujiachia sana utasema ulipotoa Hizo hela na kama umelipa kodi inavyopaswa.

Hakuna mashauzi na birthdays za kifahari zitapungua mjini...😂😂😂😂😂😂😂😂

HAPA KAZI TU .
 
acheni dharau kwa dada zetu nyie hawa wanafanya shughuli halali hawahitaji kupewa pesa. Tembellea ukanda wa BAMAGA mpaka SINZA MORI uone walivyo wajasiriamali
 
Watajuta mwaka huu ....tena wengine Hadi kampeni za kumweka magufuli walishiriki
 
Duh!ina maana hata jam barabarani zitapungua?hapana wapo madada wapambanaji sio hao wa kusubiri kuhongwa big up kwa dada zangu wapiganaji waishio kwa jasho lao kipato cha halali.
 
Duh!ina maana hata jam barabarani zitapungua?hapana wapo madada wapambanaji sio hao wa kusubiri kuhongwa big up kwa dada zangu wapiganaji waishio kwa jasho lao kipato cha halali.

Mkuu Mimi nasemea wale wanaoishi kwa kutegemea vipochi manyoya vyao mjini, wanaohangaika huko Instagram kuringishiana
 
Hapa wamwaga hela kwenye maukumbi ya starehe,yaan kwenye matumbuizo ya band,taarabu,sasa hakuna tena,kumbe ni wapiga dili,wakwepaj wazur wa kodi,wafadhil wazur wa maovu hapa mjin,ccm wataisoma namba,mwenzenu amekuwa mpinzan.
 
Bucho pamoja sana ndugu yangu hao ambao hawajazitolea jasho wana mbwembwe hao Hawachelewi kunawia redbull kama maji yamechelewa.
 
Bucho pamoja sana ndugu yangu hao ambao hawajazitolea jasho wana mbwembwe hao Hawachelewi kunawia redbull kama maji yamechelewa.

Sasa hivi lazma waisome namba penda wasipende.... Unakuta mtu hana kazi inayoekeweka mjini lakini unakuta anasukuma machine ya 200m
 
heshima lazima irud kwa wanaopata pesa kihalali nadhan sasa ivi hata wahongaj wa elf 50 wataanza kupata watoto wakaliii
 
heshima lazima irud kwa wanaopata pesa kihalali nadhan sasa ivi hata wahongaj wa elf 50 wataanza kupata watoto wakaliii

Teh teh bei ya papuchi itashuka kwa lazima
 
kuna watu wanapenda kuona vitu haviendi sawa kwa mtu Fulani kwa sababu hakuna kitu kinachoenda sawa kwao,,, mliosuport hii post mna kazi sana hii nchi ukijituma uwe mwanamke au mwanaume utavuna tu hakuna kikwazo
 
Back
Top Bottom