No Food for Wives who deny sex - Karzai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No Food for Wives who deny sex - Karzai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bm21, Aug 18, 2009.

 1. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  A husband is allowed to starve his wife if she refuses to have sex with him under a new law passed in Afghanistan. A woman must also have her husband's permission to work. The bill applies to marital life for the Shia minority in Afghanistan and is seen as attempt by the president Hamid Karzai to gain support from the conservative Shia ahead of this week's election.

  An earlier bill asked Shia women to have sex with their husbands every four days at a minimum. It also removed the need for concert to sex within marriage, effectively condoning rape. The amended version has been published in the official gazette and become law.

  Source: METRO, Monday, August 17, 2009
   
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Oooooops guys is this the right punishment to a human being?

  Does it mean women in Afghanistan are so argumentative to their husbands? Do they just decide without agreeing with their couple? Life is getting sharp all over the world I thought is a good idea for both husband and a wife to work if there's opportunity, this seems to create room to discourage women from working anyway.


  Ha ha haaaaaaaaaaa, so what was the problem here before this bill? Does it mean wives proposed longer sex interval with their husbands? what was really happening here?

  kazi kweli kweli, should I believe that, Afghanistan couples are not agreeing on conjugal act? really? so why are they couple then?
   
 3. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2009
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Apparently this was a serious issue to them, otherwise it wouldn't have occupied their legislators' time. There was a lot of discussion on it, before the final version. :confused:

  Personally, I wouldn't hit the skin, if the spouse is not into it. That goes to tell you that for them, it is a selfish act, not something that couples need to share. kama unakumbuka ule msemo wa zamani: "ukimaliza funika na gazeti" - I wouldn't want that shit!
   
  Last edited: Aug 19, 2009
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Muslem women are slaves. Period
   
 5. Z

  Zebaki Member

  #5
  Aug 19, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii legislative body imeniacha hoi, yaani walikaa kujadili kiwango cha siku za mke kumchanulia mume, halafu wameondoa "kwa-hiari" katika hilo, duh!!! Bora Bongo-tambarare haya kwetu hakuna!!!
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Je mazijua sheria za mke wa kikiristo au mnaropoka tu,je mnaijua sheria ikiwa mwanamke wa kikiristo akikutwa si bikira siku ya tendo la mwanzo la ndoa na mumewe ?

  Wabatizwaji sijui kama mnayaelewa hayo ? Poleni sana. Msiwe na haja ya kuzunguluka sana wakati shabaha yenu ni kuunganisha hoja zenu na Dini ya Kiislamu ,mkigandamizwa mnakuja hapa na hadithi za Bukhari ,maana nimeangalia kama mna hadithi zingine mmekwama na hadithi za kuokoteza.Angalieni kwenu kwanza kabla hamjavamia kwengine msishindane na waislamu mtaumbuka wandugu huku hakuna anaebatizwa.

  Huku hatuishi na magovi mpaka kufikia ujanani wala uzeeni au kufa nalo kabisa na kuzikwa nalo :D:D
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Slavery has got to be one of the most immoral things a person can do. Yet slavery is rampant throughout the Bible in both the Old and New Testaments. The Bible clearly approves of slavery in many passages, and it goes so far as to tell how to obtain slaves, how hard you can beat them, and when you can have sex with the female slaves.

  sasa kama mnataka kuendelea ni lazima muyakubali haya yafuatayo in light of the bible’s teachings; Christians should be “open to reason” (James 3:17 RSV), that we should “reason together” (Isaiah 1:18) and “he who hates correction will die” (Proverbs 15:10)
  Sio ajabu kuwa nyote nyie mliobatizwa mnahitaji kunyongwa.afu mseme talabani.
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Afu nyie mnabatizwa kuwa popo(Bat) ni ndege wakati ni mnyama ,sasa sijui kama mtaepuka hiyo adhabu ya kifo hapo juu :D au mtakuja na hadishi za Bukhari ?
  Afu ikiwa mke wa kikiristo akipigana na mumewe ,ikitokea mke akamvuta mapumbu mumewe basi huyo mke itabidi akatwe mikono . Hizi ni kali zilizomo kwenye bible. hamzioni mnazifumbia macho au vipi ? Mnabaki kuvamia hadithi za Bukhari wenu. :D
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Tuwekee tuzione
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Jazba kwa huyu mkamua ngama. lol

  Hiyo Bhukari inakuumiza kichwa sana, kamuulize mwenye hadithi, kwanini alikuwa na vioja namna hiyo.
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Tupe hizo aya tuzione bana. Hii dini yenu imefilisika sana, labda kwasababu allah wenu hana mtu mwingine wa kuleta ujumbe wake, maana Mtumwa wake wa pekee Marehemu Mwamadi ameshakufa na hakuacha msaidizi na kafa na kila kiiiitu. lol

  Sasa allah kabakia solemba, na kusaidiwa na Mashehe, Ayatolah, etc.
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Taja basi jinsi wanawake wa kikristo wanavyo nyanyaswa kama unavyo dai kwani ume katazwa mkuu? We mwaga tu data tuta chambua. Haya sea basi adhabu hiyo ya mwanamke asipo kutwa bikira ana fanywaje? Na hiyo sheria ni kwa mujibu wa nini?
   
 13. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2009
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hapo umewapa ukweli wa kristo. Waswahili husema "nyani haoni kundule". Ila sasa naona mkosawa, yaani mmetoa draw, moja moja.
   
 14. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,124
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Wazee si kuna lile jukwaa lenu kuleeee...uchochoroni?! Naona kila mkifungiwa hamkawii kuvuja. Ila kwa hapa naona jamaa (mods) hawajawagundua, endeleeni kutoana manundu!
   
 15. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  :Dha ha haaaaaaaaaaa interesting
   
 16. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona unapindisha mada, hatugombani hapa, mi nilifikiri tutajadili yaliyojiri kwa nduguzetu na kuona rationale ya policy makers to some of the legislation and its implications to the society. Hope I did not offend anybody here, if so I'm sorry.
   
Loading...