Mkuu, have you been down town recently?
Jiji walikula tenda ya kuweka vibao vya no entry almost kila barabara.
Nafikiri i uzembe wetu tu, tulitakiwa kununa spray colours na kuvifuta vyote.
washasema hazifanyi kazi mpaka watakapo tangaza so worry out wakuu...haswa hiyo samora ndio inachanganya kweli, kuanzia mnara wa askari hadi shaban robert. Na Sokoine drive kuanzia posta ya baharini hadi stesheni. Kama mtu ni mgeni huwezi kuendesha gari mjini kati, tunaendeshea uzoefu tu.