Wakubwa nataka kusema kitu mara moja. Nimesoma malalamiko ya Ubungo. Kusema kweli kitu kimoja watu wafahamu kwamba kuna tofauti kati ya UISLAM na MUISLAM. Muislam ni mtu, na mtu anaweza kusema chochote kilicho kwenye mind yake. Na uislam ni dini ambayo ina guide peace and harmony. Ni deen ambayo inataka muislam aangalie jirani zake, ni deen ambayo iliingia mkataba na Jews in Maddinah kuhusu kupigania madinna pindi itakapoingiliwa na watu wa nchi nyingine kwani ni nchi huru.
Sasa one thing nitawaambia ambayo hata mimi nilikuwa victim Tanzania watu wache wana knowledge ya deen. Majority ni wafuata Imam kasema nini. Something which Islam doesn't entertain.
So, sababu mtu mmoja kasema something against other religion, that doesn't make every muslim to be out of touch. Ni sawa na kusema Evangelical christians wote wanahubiri hate crime sababu Pastor John Hagee amesema "those who live by the Qur'an have a scriptural mandate to kill Christians and Jewse".
Inconclusion, i think watu wanachanga frustration zao za maisha na deen. Those are two different things,
Wasalam Aleikum.
Mkuu, usituchanganye! Wasingekuwapo Waislamu usingekuwapo Uislamu pia. Watu ndio wanaounda dini, dini haiundi watu. Kwa hiyo, hao tunaowasema ni Waslamu (wakorofi) kwani Waislamu wastaarabu wapo na tunawafahamu. Kwani tungesema Waislamu fulani ni wastaarabu napo ungesema tutofautishe dini na mtu?
Ikiwa Wakristo nao watafanya upuuzi tutasema pia kwani sisi tunataka tuishi pamoja kwa amani na kila mtu awe na uhuru wa kuabudu kupitia dini anayoiamini.
Hao vijana wanaokashifu Ukristo niliwaambia ni wajinga kupindukia kwani "hamwezi kuacha kuhubiri mambo yanayofundishwa na dini yenu na kuanza kuhubiri kuhusu dini nyingine isiyowahusu. Hata mmeacha kusoma Qur'an yenu na kubakia kutafuta mistari kwenye Biblia mnayofikiri mkiwaambia Wakristo waisome halafu muwazomee mnajiona mmefanya kitu cha heri. Huo ni upuuzi mtupu na mnapoteza muda bure," nilisema Jumapili mitaa ya Kariakoo nilipiwakuta hao vijana wanawashambulia Wakristo kwa kuwatusi.
Nakubaliana na yote uliyoyasema. Tatizo ni ukimya wa walio wengi inapotokea mmoja wao anatokeza kuisemea ovyo dini nyingine.
Wakristu wengi wemesema wazi kuwa Pastor John Hagee hawazungumzii. Hata John McCain ilibidi ajitenge nae ilipoonekana kuwa itam-cost kura za wakristu wengi. Ni wajibu wetu sote kusema wazi na kwa sauti kubwa pale ambapo mmoja wetu anapotaka kupandikiza chuki ndani ya jamii yetu. Kukaa kwetu kimya kuna hatari ya kumfanya afikirie tunakubaliana nae na jamii kudhani kuwa anatuwakilisha. Kukaa kimya hakufai. Hatuwezi kutumia kisingizio cha kuwa hawa wanachanganya frustration zao na deen. Ni shurti tuwaeleze ukweli na tuwakanye wasifanye hivyo.
Sorry but you sound like someone without a knowledge. Please soma nilichoandika and understand the material.
fungua radio kheri leo hii hapo DSM ni fm..utasikia wanachoongea, kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitoa incitement na beliefs fulani hivi kwa jumuiya waislam ili waone kuwa wanaonewa..hakika kama rais angekuwa anasikiliza hii radio..angeshapata jibu la kinachokuja mbele yetu..
kuna prof wao mmoja hivi...sijui shehe..alikuwa anaongea kuhusu alivyokuwa ameenda nigeria akakutana na waislam wa kule...aliongea kuwa ati walimwambia" kwanini mliwapa nafasi/madaraka?" akimaanisha uyo mnigeria alikuwa alikuwa anashangaa kwanini waislam wa tz waliwapa nafasi ya shule na madaraka wakristo wa tz....
kama ulifungulia kipindi kile cha nyaraka nyaraka..hakika ungehama nchi kama mkimbizi mapema...walikuwa wanaongea waziwzi wengine ati "kwani wakristo hawatujui waislam?..kwani wakristo walishawahi kushinda vita lini ktk historia dhidi ya waislam?..nilikuwa nashangaa kumbe wenzetu wanawaza vita hapahapa tz..dah!...walikuwa wakipiga simu...waliongea mambo ya ajabu..hii naongea ukweli kabisa..kama nchi yetu itakuwa haijifunzi kwa Rwanda tu hapo ....Radio Rwanda na radio RTLM ya Rwanda walivyofanya kupandikiza chuki wa wahutu muda baada ya muda ilipokuja kulipuka watu walichinjana bila hata huruma...Mungu atusaidie watz...
fungua radio kheri leo hii hapo DSM ni fm..utasikia wanachoongea, kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitoa incitement na beliefs fulani hivi kwa jumuiya waislam ili waone kuwa wanaonewa..hakika kama rais angekuwa anasikiliza hii radio..angeshapata jibu la kinachokuja mbele yetu..
kuna prof wao mmoja hivi...sijui shehe..alikuwa anaongea kuhusu alivyokuwa ameenda nigeria akakutana na waislam wa kule...aliongea kuwa ati walimwambia" kwanini mliwapa nafasi/madaraka?" akimaanisha uyo mnigeria alikuwa alikuwa anashangaa kwanini waislam wa tz waliwapa nafasi ya shule na madaraka wakristo wa tz....
bado inafanya kazi, hivi hii radio kheri inakumbuka kilichofanyika Rwanda kwenye Radio rwanda, magazeti yale na yule ndugu aliyeitwa simon Bikindi? hate speech ni mbaya sana....ubaya au uzuri wake ni kwamba, wale tu wanao incite uovu ndo hao tu huwa wanakuja kujikuta wako kwenye kitimoto siku ya siku, wasikilizaji wanakuwa hawakamatwi..so kila neno lonaloongelewa kuna siku mtu atatoa hesabu, either mbele ya mahakama za tz, au mbele ya mahakama za kimataifa...ole wenu radio kheri na kuhubiri kwenu chuki..
Wewe una prejudices zako na uislam na radio Kheri. Kwa nini uisikilize kama haiendani na imani yako?. Wewe ndiyo unatranslate hayo yanayoongewa na radio kheri kwa mtazamo wa violence kwa kuwa tu una roho ya chuki na kwa nini dhidi ya redio hiyo na waislam.
TCRA ipo kama unaona redio kheri wana-violate their licence peleka malalamiko yako kwao TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority Siyo kulialia tu hapa JF na hate post zako. Ukifanya hivyo utakuwa umelisaidia Taifa sana na hayo machafuko unayotaka kuyaleta kwa chuki zako binafsi na radio Kheri na uislam kwa ujumla.
bora hata hiyo ya mafisadi kwasababu mtoto atakua akiwa anauchukia ufisadi. lakini ile ya kucreate chuki dhidi ya dini ingine, mtoto atakua kama vile wale watoto wa palestina wanaofundishwa toka akiwa ananyonya kuwa waislarael in nguruwe na wanatakiwa kuuawa. hivyo akikua anakuja kuafanyia kweli. sisi hatuko huko wala hatuna uadui huo. tunatakiwa tuishi kama secular country not religious.
Jamani wana jf,hivi mnasomaga an nuur? Wanaandika habari za kuchefua akili na za kichokozi sana.eti TBC1 wanapendelea wakristo,kwanini hawafungii gazeti hli la kichokozi? Badala yake wanaanndama mwananchi na mwanahalisi.so interesting.
Jamani wana jf,hivi mnasomaga an nuur? Wanaandika habari za kuchefua akili na za kichokozi sana.eti TBC1 wanapendelea wakristo,kwanini hawafungii gazeti hli la kichokozi? Badala yake wanaanndama mwananchi na mwanahalisi.so interesting.
Mjomba hiyo ndiyo freedom of speech, sasa kama kuna makala ukuipenda na una data za kuwakosoa kuwa wanachosema si kweli nawe unatoa makala yako na kupinga hoja zao kutokana na facts ulizokuwa nazo, sio kuleta udikteta wa kufungia usivyovipenda wewe, sasa wengine wasiopenda mwananchi na mwanahalisi kuwa ni ya kichochezi wakisema yafungiwe utasema nini?