Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Aisee!!
Nawashangaa mnaojadili na kuchangia hapa!!!
Mleta mada inasomeka... "No COMMENT"...
Au ndo wale wale wa shule ZETU nini...??!
:shut-mouth:
Mbona sasa kakongoloka, shida juu ya nini?
Mkuu jela inakwita!!Kazuri utafikiri kamezaliwa kwenye familia ya malaika
Sintoshangaa siku nikisikia una kesi ya kubaka mtoto, hizi ni tamaa zilizopitiliza, wewe inaonekana hata Dada yako akitingisha shuzi lake mimacho inakutoka kodo!!Kazuri utafikiri kamezaliwa kwenye familia ya malaika
Duhhh hii ni defamation yaani umenikashifu, umenidhalilisha na umenifadhaisha sana.Sintoshangaa siku nikisikia una kesi ya kubaka mtoto, hizi ni tamaa zilizopitiliza, wewe inaonekana hata Dada yako akitingisha shuzi lake mimacho inakutoka kodo!!
Hata Lowasa naye baada ya kutuibia alitiririka na mistari kama hiyo. hapo roho inakusuta kwa kukimezea mate hicho kitoto.Duhhh hii ni defamation yaani umenikashifu, umenidhalilisha na umenifadhaisha sana.
Hivi ni wapi nilipoelezea matamanio yangu ya kingono kwa mtoto huyu?
Aisee, kama wewe ni muungwana utakuwa unajua steps za kuzifuata ukimkosea mtu, lakini kama wewe ni nyani utaendeleza unyani kwa kukaa kimya.
Waswahili wanasema uungwana ni kitendo.
Waungwana huomba radhi wanapokosea, lakini nyani na masokwe mara wakoseapo, hukimbia na kupanda juu ya mitiHata Lowasa naye baada ya kutuibia alitiririka na mistari kama hiyo. hapo roho inakusuta kwa kukimezea mate hicho kitoto.
Hahahahaaa kweli jamaa kachemka sana aiseekwahiyo heri wewe huja-komenti!!???sam pipo bana!
Ni kweli wewe wa shule ya kata ndio maana umechangia hii mada.Nawashangaa mnaojadili na kuchangia hapa!!!
Mleta mada inasomeka... "No COMMENT"...
Au ndo wale wale wa shule ZETU nini...??!
:shut-mouth:
Sina uhakika hata kama ulisoma historia?! Ulisikia kulikuwa shule za kata kwa wa 1974??!Ni kweli wewe wa shule ya kata ndio maana umechangia hii mada.
Bado unapoteza muda wako kucomment kwenye mada ambayo ni No comment? labda ulifaulu ujinga.Sina uhakika hata kama ulisoma historia?! Ulisikia kulikuwa shule za kata kwa wa 1974??!
Enzi zetu ukifaulu std 7 kijiji kizima wanakupigia makofi wewe...