No COMMENT

No COMMENT

Ni kazuri sana kwa kweli! Duh! Tumacho, kimdomo, vimeno, tumikono, nywele zake na kalivyotabasamu mtu unatamani ukaangalie tu muda wote.
 
Nani anatoa ruhusa huyu mtoto wangu na jeneneke awekwe huku kwenye hii forum? Mama gfsonwin una habari ya huyu mjukuu wako kuwekwa huku? Ngoja nipitie vipengele nione kama naweza kumshtaki Bujibuji
mmh! Ronn M mwanangu huyu si mjuukuu wangu Eline?? sishangai Bujibuji alimpiga picha ile siku uliyokuwa unazindua nyumba. lol! hebu do the needful my swt son.

love you swt son, msalimie sana mkwe wangu jeneneke.
 
Last edited by a moderator:
Nani anatoa ruhusa huyu mtoto wangu na jeneneke awekwe huku kwenye hii forum? Mama gfsonwin una habari ya huyu mjukuu wako kuwekwa huku? Ngoja nipitie vipengele nione kama naweza kumshtaki Bujibuji
Jamani mwanao mzuri sana, ndio faida ya kumtanguliza Roho Mtakatifu afanye shughuli ya uumbaji kabla nyie wenyewe hamjaanza ku 'do' the needful'
 
mmh! Ronn M mwanangu huyu si mjuukuu wangu Eline?? sishangai Bujibuji alimpiga picha ile siku uliyokuwa unazindua nyumba. lol! hebu do the needful my swt son.

love you swt son, msalimie sana mkwe wangu jeneneke.
Kibibi ki sista duu hiki sijawahi ona, ngoja niibandike picha yako ya ukweli niliyokupiga pale kwa Mtambuzi akizindua pub yake.
3261_424349597613099_1038438244_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kibibi ki sista duu hiki sijawahi ona, ngoja niibandike picha yako ya ukweli niliyokupiga pale kwa Mtambuzi akizindua pub yake.
3261_424349597613099_1038438244_n.jpg

si umeona jinsi ninavyojipenda??
uzee utausema wewe ila mie bado binti kabisaaa kigori si unacheki mwenyewe mapigo yangu?
 
gfsonwin kumbe nyie wote ni ndugu.
Halabu Bujibuji ni nani wenu?
giLESi, mimi ni vuruga vunja, toto la mtaani nisiye na ndugu humu ndani. gfsonwin ananizimia ila kuniambia anashindwa, asisingizie kuniita mimi tongoza tongoza wakati ile barua yake ya mapenzi aliyoniandikia bado ninayo.
Ukitaka kopi wee sema ntakupatia
 
hahahaha!
utasubiri sana
 
gfsonwin sasa nimeelewa, kumbe Bujibuji ni fisadi kiwembe, loh, hebu nijikalie mbali mie.
giLESi, wewe bado ni mtoto mdogo sana, gfsonwin nidivyo alivyo, kwa umri wako mdogo ni vigumu sana kuujua utu wake wa ndani, labda uwe umefunuliwa na Roho Mtakatifu.
Huyu gfsonwin ni ndumilakuwili kama huyu blaza hapa
090805-two-headed-snake-picture_big.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom