No COMMENT

No COMMENT

gilesi, wewe bado ni mtoto mdogo sana, gfsonwin nidivyo alivyo, kwa umri wako mdogo ni vigumu sana kuujua utu wake wa ndani, labda uwe umefunuliwa na roho mtakatifu.
Huyu gfsonwin ni ndumilakuwili kama huyu blaza hapa
090805-two-headed-snake-picture_big.jpg

shindwa shetani kwa jina la yesu. Nyoka huyu kristo ulishamshindaa miaka 2000 iliyopita na funguo za mauti ulimnyang'anya. Ulinipa ruhusa nimkanyage kichwa nami kwa mamlaka niliyo nayo nakiponda kichwa chake kwa msalaba wa kalvary katika jina la yesu.
Ameen.
 
ukiona vyaelea jua si vizito, ni vyepesi hajazaliwa tu na kua hivo,, katunzwa ati?
 
gfsonwin yani nmavyokapenda katoto kangu, acha tuu. Huyu Bujibuji anahila sana. Kila j2 kutembelea watu kumbe ana malengo yake. Mara kumpiga picha mwanangu, mara kumtaka mama yangu, tena ameanza kumwandikia msg za mapenzi mamawatoto jeneneke! I will surely do the needful!
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji, ile mambo ni ibada kamili. Yaani tunafungua na kufunga kwa maombi. Full upako. Ukianza bila kumshirikisha Bwana ndio unaambulia migambo ati!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom