No cheating...

Eeeh bana eee tena niko kwenye simu ningekuwa kwenye kpad ningekukamataje we.
 
umejitahidi,ila kwa keyboard ya computer ni ngumu sana

kwa keybody ya comp ni rahis sana kwangu make nina uwezo wa ku-type barua bila kuangalia kwenye keybody. chezeiya typist weye Excellent. . .
 
Last edited by a moderator:
kwa keybody ya comp ni rahis sana kwangu make nina uwezo wa ku-type barua bila kuangalia kwenye keybody. chezeiya typist weye Excellent. . .
but ni mkono moja,kama ni mikono miwili na mi naweza kutype kwa kufumba macho ila kwa mkono moja ngumu
 
Afu wewe Excellent,tabia gani ya kutufanya watoto watu na akili zetu,
kumbe tumetoka mbali,nilishakuzingua huko siku hizi unajifanya mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…