No cheating...

No cheating...

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
No cheating,hebu fumba macho halafu uandike ID yako kwa mkono mmoja tu,tuone kama utaweza bila kuchanganya herufi!
Dont cheat!
 
Afu wewe Excellent,tabia gani ya kutufanya watoto watu na akili zetu,
 
Wengine mbona tunatumia iPad, mkono mmoja ndo mpango mzima.
 
Excellent bana,nane nane unailia wapi mkuu? Karibu kwetu kilwa kipatimo uje tule samaki nchanga na ugali wa mhogo.
 
Excellent bana,nane nane unailia wapi mkuu? Karibu kwetu kilwa kipatimo uje tule samaki nchanga na ugali wa mhogo.
tatizo ukila samaki mchanga na ugali wa mhogo unajikuta unamaliza ugali mkubwaaaaa......nane nane arusha bhana kwa mama yeyo karibu ule mtori ya ndizi na nyama ya n'gombe
 
dah.sema me keypad ya cm yangu huwa naijulia kdg dats y nimepatia kiduchu!
 
Back
Top Bottom