jibu niiiii................
Afadhali hata we umetoka kwenye mambo yaKuvaa viatu vya visigino virefu.
aagh very simple...punye.to
hahahahah lolzme naogopa kuwasha taa wakat wa kuuu.. du mwanamke atanichungulia.
Samahani mkuu sio hilonaona jibu litakuwa ni hilihili....lets wait and see!
🙂nilimpa jibu hili kalikataa!
Hapanamm naona mwanamke akiwa na kazi au akiwa na kipato au bishara kubwa
Ahaa kutawaliwa si ndiyo? au hilo jibu ndo la moja kwa moja?Well.. Jibu ni kuwa abiria wakatiMsichana/mwanamke anaendesha ..
Well..
Jibu ni kuwa abiria wakati
Msichana/mwanamke anaendesha ..
Well..
Jibu ni kuwa abiria wakati
Msichana/mwanamke anaendesha ..
Aaaa wewe huwezi kuchukua wewe ntachukua mimi, chemsha bongo yenyewe hii umeshindwa kuijibu! hahahahaha!nimekubali matokea...nitarudi kwenye chemsha bongo ya 4 na kuchukua ushindi.