Salamu zenu wakuu..
Karibuni wote kwenye wiki hii mpya
Hopefully itakuwa wiki nzuri kwa kila mmoja
Wetu..
Chemsha Bongo J3 hii.
20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana
Hiki kitu................ Je ni kitu gani? ??
Hint.. Ni kitu ambacho sisi wanawake/
Wasichana huwa tunafanya....
Asanteeni..
20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana
Hiki kitu................ Je ni kitu gani? ??
Hint.. Ni kitu ambacho sisi wanawake/
Wasichana huwa tunafanya....
Hahahaha lolz..Mentor bwana unafujo sanammhhhLakini hilo sio jibuSamahani..haha..mimi naogopa kuambiwa "Acha uongo" au "Tell me the truth Mentor"...maana translation yangu ni huwa, "Please lie to me Mentor!!!" na mimi huwa sipendi kudanganya!!!
MmhhhhMbu wasaidie wenzie..
Hahahaha lolz..Mentor bwana unafujo sanammhhhLakini hilo sio jibuSamahani..