Nnye Tepetepe

Umesha wahi kuhudhuria promosheni za Heineken?
kuna mabinti wakatika hao ni balaa.
kila nikiwa bar, halafu Heineken wakiwa wanafanya promotion zao, walah muda wote wa shoo Mzee Juma anakuwa amekasirika kwa hamu ya kuwapata hao mabinti.
Mh... sijui nimekosea jukwaa au?/ where is Maria Roza au Ivuga?
 
teh teh !!!
inabd ajieleze akichek POLICE aliyenae ....ah maelezo nyoshaaaaaaaaaaaaa moja ..mbili...MCHEZO?

Yaani ni kweli Rose kuna wanaume walivyo tu hapa JF nasemaga wake zao wana kazi....manake unaweza kuwa unamsubiria mtu kwa hasira,only kupigiwa simu amezimia yuko hospitali.......kumbe alikotoka anakujua mwenyewe,unaanza kumpa pole na hata kulia pole mume wangu.........yaani......:thinking:
 
umefumaniwa?
jifanye kuna mtu alikuwa anatumia akaunt yangu isnt me beb..

ha ha ha ha ha, amdanganye nani Rose,mie huyo???

Anajua nilikozaliwa na kukulia,nami najua mwisho wa akili yake,haniwezi ye atulie tu,alikosea kuwa nami.......
 
Yaani ni kweli Rose kuna wanaume walivyo tu hapa JF nasemaga wake zao wana kazi....manake unaweza kuwa unamsubiria mtu kwa hasira,only kupigiwa simu amezimia yuko hospitali.......kumbe alikotoka anakujua mwenyewe,unaanza kumpa pole na hata kulia pole mume wangu.........yaani......:thinking:

umu ndani mtu anayoyaandika HAINA TOFAUT NA MAISHA YAKE YA UKWELI
KIMJAAZHO MTU NDO KITOKACHO....ATA UJIFANYE KUPRETEND VP UKIPITIA POST ,MICHANGO MBALIMBALI YA MTU FULANI KWA SIKU MOJA UNAWEAZ JUA UYU MTU ANA TABIA GAN....

yaan unasema kabisa mmhh uyu mtoto,
uyu nyangema,
uyu mnyanyasaji,
uyu mke wake ana kazi,
uyu ana mafagio,
uyu mpole,

uyu mcheshi maneno ming,
uyu anatania uyu anamaanisha na ndvyo alivyo

ahhh kuna watu wanafanya behavior nini sjui kwa kuzingatia michango na maoni ya watu tofaut km ivi...p,m shost wee TUNENE kdg..
 
ehhh unazan mwanaume anashindwa kukudanganya kibaka aliiba laptop yangu afua akatumia akaunt yangu na sasa ivi nimeipata..ndo ivi naandika....YAAN WANAJIONA WAO WANAJUAA SANA UONGO MWINGNE UTATAMAN UKAZALIWE TENA MANAKE ANAKUWA AMEKUDUNISHA MPK NUKTA
 
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.

Kumbe kuna wakati huwa hataki mtoke wote , basi ujue kuna siku huwa anakuchomoka wewe huna habari,amini usiamini.. U can't control a man manually bwana!!
 
umu ndani mtu anayoyaandika HAINA TOFAUT NA MAISHA YAKE YA UKWELI
KIMJAAZHO MTU NDO KITOKACHO....ATA UJIFANYE KUPRETEND VP UKIPITIA POST ,MICHANGO MBALIMBALI YA MTU FULANI KWA SIKU MOJA UNAWEAZ JUA UYU MTU ANA TABIA GAN....

yaan unasema kabisa mmhh uyu mtoto,
uyu nyangema,
uyu mnyanyasaji,
uyu mke wake ana kazi,
uyu ana mafagio,
uyu mpole,

uyu mcheshi maneno ming,
uyu anatania uyu anamaanisha na ndvyo alivyo

ahhh kuna watu wanafanya behavior nini sjui kwa kuzingatia michango na maoni ya watu tofaut km ivi...p,m shost wee TUNENE kdg..

Duhhh,kumbe sijakosea,yaani mimi hufikiri kama ulivyosema,kazi kweli kweli kuwa na waume wa aina hizo......yaani nasomaga comment nafikiria weeee,nasema GOD FORBID.........lol:laugh:

Hapo kwa bluu,jamani hadi nikajiuliza huyu Rose kanisusa au??mimi iko PM wewe sasa.........
 
[/COLOR]

asante mwaya
 
Yaani ni kweli Rose kuna wanaume walivyo tu hapa JF nasemaga wake zao wana kazi....manake unaweza kuwa unamsubiria mtu kwa hasira,only kupigiwa simu amezimia yuko hospitali.......kumbe alikotoka anakujua mwenyewe,unaanza kumpa pole na hata kulia pole mume wangu.........yaani......:thinking:

Aiiiiiiiiii wewe!!!!!
 
ushawai kuwachek KITU T KITU K?
WAtoto wa bugurun sjui mwananyamala wale dahhhh achaaaaa....vtu vnaclap hands nakwambia...wale wanakatika diaphram pelvis gidle wanaichinja....nenda ukawachek wanakwepo club continental j5...

YAANI ULIVYOWATAJA nimepata mstuko wa ghafla , kumbe na wewe unawajua?
kweli huwaga tunakutana viwanjani ila ndo hivyo hatujuanai
Wale ni watoto wa ILALA, SIO MCHEZO KI*MB* NI KI**BA KWELI
WALE WA mWANANYAMALA NI KANGA MOJA
MJINI RAHA
 
Back
Top Bottom