Nnye Tepetepe

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Umesha wahi kuhudhuria promosheni za Heineken?
kuna mabinti wakatika hao ni balaa.
kila nikiwa bar, halafu Heineken wakiwa wanafanya promotion zao, walah muda wote wa shoo Mzee Juma anakuwa amekasirika kwa hamu ya kuwapata hao mabinti.
 
umeandika apa km nin?

1.taarifa?
2.ripot?
3.tatizo wataka ushauri?

km vp LEO NENDA heinken mikochen pale KAKA JUMA AKASTAND UP TENA

samaaaaaaaaaaaaaakkk ana vipande vingaaaaaap............??????
 
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.
 
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.

unamnyima ahki yake
kutazama si dhambi ...dhambi kuchukua

mruhusu they just OPTIMAL FOOD FOR MEN...!!!!!!!!!!
 
wale nawakubali uwa wanacheza nyimbo za FM Academia mie pia napenda sana wanavyokata nyonga
 
wale nawakubali uwa wanacheza nyimbo za FM Academia mie pia napenda sana wanavyokata nyonga

ushawai kuwachek KITU T KITU K?
WAtoto wa bugurun sjui mwananyamala wale dahhhh achaaaaa....vtu vnaclap hands nakwambia...wale wanakatika diaphram pelvis gidle wanaichinja....nenda ukawachek wanakwepo club continental j5...
 
wadada yuwe watundu+wabunifu,kwani hao wadada wana kata nini9 ambacho wewe huna mpaka uogope mumeo asiangalie...:coffee:
 
ushawai kuwachek KITU T KITU K?
WAtoto wa bugurun sjui mwananyamala wale dahhhh achaaaaa....vtu vnaclap hands nakwambia...wale wanakatika diaphram pelvis gidle wanaichinja....nenda ukawachek wanakwepo club continental j5...

Orait Orait Jumatano ijayo place to be
 
Wale mabinti mi siwataki kabisa....
Mheshimiwa simruhusu kwenda bar peke yake, kama hataki kuongozana na mimi basi tunanunua na tunanywea ndani.

Nazjaz kwani wewe hauwezi zungusha mauno kama wale???
 
Orait Orait Jumatano ijayo place to be

ok ..tuanze kwa dada jd mzalendo frday
jmos kwa mbowe
j2 tutaenda kushinda kanisan ..morning groly mpaka sala ya jion

ATM ninayo au unayo vile?skumbuik km nilikurudishia...
 
Back
Top Bottom