NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

Kamanda Arushaone nimesikia minong'oni mitaani kuwa mkeo Lady doctor alikuacha solemba jana wakati uko busy na uchaguzi. Habari hizi zina ukweli kwa kiwango gani na zina uongo kwa asilimia ngapi?
 
Last edited by a moderator:
poweeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hongereni sana makamanda
nakusalimu kumbe na wewe ni m4c haya bwana ,arusha kwetu hakuna wajinga tulisoma mapema hatudanganywi na tshet kwani toka tumezaliwa twaishi uchi kwiwkwi yaani naishi dsm ila kusema kweli kila nikikumbuka hm arusha nasikia link yangu inakuwa strong sana. Ilove the pple i love my motheeeeeers land
 
safi sana kijana yani hadi ulikuwa upatikani, nilitaka kukujulisha kuwa Lady doctor kasema wewe na yeye kuanzia jana baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
 
Last edited by a moderator:
twin ni wewe nsije teta na jambazi mie naona kitu kimebadilika .kama ni wewe kweli nina shida nawe
ha haa, twin ni mie nimerudia jina la usichana....
una shida gani twin?
twin wangu hapaswi kuwa na shida, anajua kwa kunitafuta
 
nakusalimu kumbe na wewe ni m4c haya bwana ,arusha kwetu hakuna wajinga tulisoma mapema hatudanganywi na tshet kwani toka tumezaliwa twaishi uchi kwiwkwi yaani naishi dsm ila kusema kweli kila nikikumbuka hm arusha nasikia link yangu inakuwa strong sana. Ilove the pple i love my motheeeeeers land
kweli waarusha mmeendelea twin, sisi ndo tumeanza, lol!
nina mpango wa kwenda kuwasha nuru ya Mapendo, lol!
 
Magamba hayana ujanja tena!!

Tunategemea neema na mtwara..
ukomboziiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom