Nna mashaka makubwa na uwezo wa Wanaoitwa wasomi wa Tanzania

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,328
11,822
Vijana mmekuwa mstari wa mbele kuisumbua Serikali iwaajiri lakini mkiingia huko mmekuwa ni mizigo kila Sekta hamuwezi kuitumia Elimu mliyonayo kuisaidia nchi

wasomi ambao naona ni Bomu la kwanza na wanaotakiwa kipunguzwa ajira zao ni Wasomi na wataalam wa kilimo hawa ndio namashaka na elimu yao na nini haswa wnachofanya pale Wizara ya kilimo maana kwa sasa Nchi haina sukari wakati ina eneo la kuzalisha Sukari na kuuza nnje ila sisi tunauziwa sukari na nchi kama Malawi, Bei za vyakula zipo juu sana kwa hali ya kutisha na tuna wataalam wa kilimo

Inshort Wataalam wa Sua Serikali inatakiwa iwapunguze hapo Wizarani hawaisaidii nnchi

Wengine ni hawa wanaojiita mainjinia Wa Umeme unakuta mtu anajiita Injinia ila kazi yake kuu ni kuzima umeme na kuwasha, Nchi inapitia mgao ila wataalam wa umeme hawana uwezo wa kusaidia nchi mbinu za kuepuka huu mgao wizara na Nishati na Tanesco panatakiwa wapigwe panga rundo la wanaojiita wataalam
 
_20240220_164411.JPG
 
Sasa unataka engineer wa umeme akanunue plant ya, kuzalisha umeme? Ma engineer waliifikisha gas ya mtwara Dar! Ili izalishe umeme, matokeo yake wenye mamlaka gas wakaiuza! Wanaoamua kipi kifsnyike bro sio wataalamu, ni wanasiasa kwa kuangslia matumbo, tatizo LA nchi yetu sio hardware, ni, software tuna rais, mwizi, makamu mwizi, wazir mkuu mwizi, ma Waziristan wezi, unstegrmea nini,huu unamchukua meneja wa tanesco aliyeondolewa kwa wizi, unampereka wizarani awe katibu mkuu wa nishati unstegrmea nini?
Nimefanya kazi mashirika ya, UN, US, yaliyopo nchini,yameajiri vijana wetu kwenye nyqnja za siasa, kilimo, afya,na wanachambua Mambo vzr Sana, kusaidia serikali za ulaya kufanya maamuzi kuhusu TZ, na Afrika, Luna vijana wapo sekta ya usalama, huwezi kuamini kwamba hawa wamesoma chuo cha polisi Moshi! Kwa, jinsi,ya proffessinalism Yao,
 
Umemaliza kabisa mkuu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom