Haya mambo ndo yanaleta joto hapa Bongo....
Kwa vipi mkuu. Jamaa anasema amesikitika kupendwa na mwanamume mwenzake. Joto linatokea wapi hapo?? Hii ndo dunia ya leo. Kizazi hiki hakipendi kufanya kazi kabisa, lakini kila cha kupendeza macho wanakitamani. Hayo ndo matokeo. Ati; sitaki mtu ajue. Anataka kumthibitishia kuwa ndiye anayekwenda kumuanza??
Yaliwahi kunipata hayo. Nilipata maombi ya kuwa rafiki, nikaona si taab, Dah! Chini ya wiki mtu ananiomba tukutane guest flan, NIKASHANGAAAAA! Guest??? Wala sikuenda, aliponipigia nikamwambia hata hiyo sauti yake inanipa kichefchef