Labda alitaka muonane akukabe
hapa dar ni wengi sana! hata JF unaweza kuwakuta kwasababu wamekataa kuutafuta uso wa Mungu wameamua kufuata ya shetani! hayo ndio malipo! na mtu yoyote asiye na nguvu za Mungu anahatali ya kukutwa na matatizo haya muda wowote hata kama leo unakataa lakini kesho utakuwa wakwanza kukubali! hiyo yote ni sababu ya matumizi ya vitu na vifaa kutoka nje vilivyo pandikizwa hizo elements za ushoga! kwa sili! ndio maana marekani na ulaya wanatumia plan B ya kualalisha ushoga Africa iwe ni kitu cha kawaida! Mungu na atunusuru africa.Natumai hamjamboo wote.
Niende kwenye maada. Sku moja nikiwa nmejipumzisha nyumban nikiwa nashusa bia yangu baada ya kutoka kwenye utaftaji niliamua kuperuzi kwenye social net.
Nikiwa naendelea kuperuzi huku nikichat na marafiki ghafla nikakuta rafki mpya anataka kuchat nilipo Soma profile yake nilikuta ni mwanaume ambaye kwenye pic profile Aliwek picha ya jamaa mwenye rasta.
Skuwa na hiyana tukawa tunachat kawaida tu. Baadae jamaa alinitext namba yake ya simu. Skuwazia sana nikajua labda jamaa ana deal kwa kuwa aliniizia shuguli nazo fanya nami nilimpa ukweli.
Tukawa tunachat kawaida tu. Baada ya mda flani kupita akaniulizia ninapoishi nilimweleza nikagundua hatuko mbali sana. Baada ya mda akaniomba tuonane, nilimuuliza lengo la kuonana ni lipi?
Hapo ndipo nilipoishiwa pole, nanukuu "nmetokea kukupenda naomba uwe basha wangu lakn iwe siri staki watu wajue" niliishiwa nguvu skujua la kufanya nilimwambia sawa haina shida.
Akili yangu ilihama kabisa skuweza kuendelea kumjibu nilikaa kimya tu.
Kesho yake nilimtafuta Kwa lengo la kutaka kumpa somo lakn nilichoambulia ni matusi. Nilimkanya sana Lakin hakunielewa akaishia Kunisema mm mshamba.
Skuwa Na jinsi nilimwacha.
Wanawake mpo kwenye kipind kigumu sana wanaume wameisha
si kazi ndogoKaz kweli kweli
Sisemi kituUnataka kusemaje labda....
ni kweli kabisaFamilia bora ndo wanaongoza kutoa watoto si ridhiki tokana na lifestyle wanayopitia..
Daah! kuna jamaa kasoma tena ulaya kazi nzuri anayo,huyu jamaa yupo radhi kuwapa vijana hata 3m wamkite,inasikitisha sana hasa vijana walio na maisha magumu wanaingia sana kwenye dhambi hii,kuna watu wanamuona sana traveltime akiwa amepiga kimini usiku,asubuhi kazini kama dume..Dah laana ya MUNGU imshukie huyu jamaa,Mungu akinusuru kizazi hikiWanaume tunapungua sana tu, utakuta mtu anakazi yake nzuri tu lakini watu wanampumulia kwa nyuma tena yy ndio anahonga na kugharamia kila kitu.
Profile pic yake ana rasta ee? Ngoja niangalie chatting zangu za WhatsApp... Picha moja amesimama na wazungu... Nilishangaa sana alivyoniambia hawezi kulala kwa Amani hadi nimtumie pichaNatumai hamjamboo wote.
Niende kwenye maada. Sku moja nikiwa nmejipumzisha nyumban nikiwa nashusa bia yangu baada ya kutoka kwenye utaftaji niliamua kuperuzi kwenye social net.
Nikiwa naendelea kuperuzi huku nikichat na marafiki ghafla nikakuta rafki mpya anataka kuchat nilipo Soma profile yake nilikuta ni mwanaume ambaye kwenye pic profile Aliwek picha ya jamaa mwenye rasta.
Skuwa na hiyana tukawa tunachat kawaida tu. Baadae jamaa alinitext namba yake ya simu. Skuwazia sana nikajua labda jamaa ana deal kwa kuwa aliniizia shuguli nazo fanya nami nilimpa ukweli.
Tukawa tunachat kawaida tu. Baada ya mda flani kupita akaniulizia ninapoishi nilimweleza nikagundua hatuko mbali sana. Baada ya mda akaniomba tuonane, nilimuuliza lengo la kuonana ni lipi?
Hapo ndipo nilipoishiwa pole, nanukuu "nmetokea kukupenda naomba uwe basha wangu lakn iwe siri staki watu wajue" niliishiwa nguvu skujua la kufanya nilimwambia sawa haina shida.
Akili yangu ilihama kabisa skuweza kuendelea kumjibu nilikaa kimya tu.
Kesho yake nilimtafuta Kwa lengo la kutaka kumpa somo lakn nilichoambulia ni matusi. Nilimkanya sana Lakin hakunielewa akaishia Kunisema mm mshamba.
Skuwa Na jinsi nilimwacha.
Wanawake mpo kwenye kipind kigumu sana wanaume wameisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dah