Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,208
- 13,233
Natumai hamjamboo wote.
Niende kwenye maada. Sku moja nikiwa nmejipumzisha nyumban nikiwa nashusa bia yangu baada ya kutoka kwenye utaftaji niliamua kuperuzi kwenye social net.
Nikiwa naendelea kuperuzi huku nikichat na marafiki ghafla nikakuta rafki mpya anataka kuchat nilipo Soma profile yake nilikuta ni mwanaume ambaye kwenye pic profile Aliwek picha ya jamaa mwenye rasta.
Skuwa na hiyana tukawa tunachat kawaida tu. Baadae jamaa alinitext namba yake ya simu. Skuwazia sana nikajua labda jamaa ana deal kwa kuwa aliniizia shuguli nazo fanya nami nilimpa ukweli.
Tukawa tunachat kawaida tu. Baada ya mda flani kupita akaniulizia ninapoishi nilimweleza nikagundua hatuko mbali sana. Baada ya mda akaniomba tuonane, nilimuuliza lengo la kuonana ni lipi?
Hapo ndipo nilipoishiwa pole, nanukuu "nmetokea kukupenda naomba uwe basha wangu lakn iwe siri staki watu wajue" niliishiwa nguvu skujua la kufanya nilimwambia sawa haina shida.
Akili yangu ilihama kabisa skuweza kuendelea kumjibu nilikaa kimya tu.
Kesho yake nilimtafuta Kwa lengo la kutaka kumpa somo lakn nilichoambulia ni matusi. Nilimkanya sana Lakin hakunielewa akaishia Kunisema mm mshamba.
Skuwa Na jinsi nilimwacha.
Wanawake mpo kwenye kipind kigumu sana wanaume wameisha