nmepotelewa na kitoweo

Wapi haki za wanyama? kanyonyolewa akiwa hai? we ndo uliye mng'oa Dr Uli kucha nn?

Yes!. ndo mimi mhusika. Alikua na manyoa rangi mbaya so nmemnyonyoa ili aote mengine mazuri. mia
 
Huu sasa ni udharirishaji. Ingekuwa ni Uingereza aliyefanya hivyo angelimwa mvua tatu.

waingereza wangekuambia ni haki yake ya msingi kama wewe unavonyoa nywele baadhi ya sehemu zako za mwili, sasa hili na la kumdhalilisha mwanaume kuwa halali kuolewa na kulalwa na mwanaume mwenzake hususani ni hao waingereza je lipi linafaa kuwa mtu apewe mvua tatu? ninamashaka sana na akili ya waingerereza kwa kweli, wao wanzo za kutengenezea magari, simu, meli nk lakini si za kiustaarabu hasa kwa mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…