Nmeokata laki 2 kwenye begi kariakoo za nani?

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
356
Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
 
Mbona kama hueleweki vile?
 
Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
Umefanya sahihi. Na mafundisho ya Quran na Sunna yanataka utangaze Kwa kipindi cha mwaka mmoja mzima Kabla haujakitumia ulichokiokota
 
Laki 2 Msimbazi ? Mtu una laki 2 halafu huna usingizi ? Usituzingue
 
Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
In shaallah mwenyezi Mungu akujaalie ushikamane na msimamo wako. Jitahidi kumpata mwenyewe
 
Habari wana bodi leo mida ya saa 1 nmeokota takriban sh laki mbili na elfu 20 mitaa ya hapa msimbaz kwakuwa mm ni mwislam safi sitaki kuitumia mpk niitangaze akikosekana mwenyewe naitumbua ajitokeze jaman sambazen kwenye magrup sitk hela bila jasho langu
Niazime Mimi ikipata mwenyewe uniambie nikutumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom