Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu.
Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa kuweka kibunda mezani mbunye iwekwe kitandani. Period.
Mimi ni mweusi. Angalau hata ngekuwa black. No. Ni mweusi, mrefu (urefu wangu haujawahi nisaidia maana mara kadhaa jamaa mbilikimo walikuwa wanavuta mizigo ambayo mi inanisumbua.)
Nilikuwa mwembamba lakini siku hizi allahamdulillah nyama zipo imeniongezea Haiba. Maana kipindi kile kitaa ukinikuta nacheza mpira ule uwanja wa Twiga unaweza sema miguu itavunjika. Lakini mungu si athumani kakitambia kakufutia kioo cha simu kapo na mwili upo.
Nimehonga sana kitaa. Akina Mwajuma, Farida, Fatima , Khadija, Mwanaheri, Pili, Joyce, Aisha, Chausiku, Wema, Tatu, Frida etc. wamekula sana pesa zangu hawa mademu. Kule Ilala nako na Kinondoni ndo balaa mtu haweki mbunye kitandani bila kuona chambichambi kwanza.
Ikaniathiri kisaikolojia nikawa siwezi kabisa kuimbisha na naona shida. Namuuliza tu demu nahitaji mbunye nikikupa Tsh...... Tutaweza kuwa wote?
Au naomba kesho tuwe wote siku nzima nikuandalie nauli tsh ngapi? Mi toka zamani sina kona kona ndo nipo hivyo.
Nashukuru nilikuja onana na wataalamu wakawa wananifanyia counselling kuhusu kuhonga sana. Nimejifunza siku hizi sihongi kivile. Nimekuwa mgumu kiasi flani. Na sitangulizi pesa. Maana pesa zenyewe nazo zina matumizi mengi wadau.