nmecheka sana kiswahili ni kigum hatari.

Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
516
629
Wakati nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa. Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

Shughuli ni pale unapogundua hujui *kingereza* wala *kiswahili*
 
Kiswahili kigumu,kiingereza kigumu,kilugha nacho kigumu.
Basi tena.
 
shughuli ni pale unapongundua hujui *kingereza* wala *kiswahili*
 
um
umechemka ama nene???
Nene pia ni kiswahili? Wasomi wa siku hizi tatizo. Yupo jamaa mmoja ni mwalimu nguli tena naambiwa ni mtaalamu sana kwenye kufundisha lakini nilishangaa kuona kwenye meseji anaandika "axante xana" kah
 
yupo anakuza written literature.... akiach kuitumia hyo x itatumikaj???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom