Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

yule wa kwanza hakuna kibaya nilichokifanya hadi sasa kashirikisha wazazi wake wamuombee msamaha kwa vile alivonitenda lakini moyo wangu bado haupo tayari

Ndio maana mwisho nimekuambia katka mazingira magumu unapaswa kuusaliti moyo na kufuata kichwa (akili).

Kupempenda mtu sio kitu, kupendwa na mtu ni kitu na kumpenda anayekupenda ni kila kitu. Ni bora ukawa na kitu kuliko kukosa kila kitu.
 
yule wa kwanza hakuna kibaya nilichokifanya hadi sasa kashirikisha wazazi wake wamuombee msamaha kwa vile alivonitenda lakini moyo wangu bado haupo tayari
Unampenda baba mtoto?nakushauri urudiane na mzazi mwenzio mlee mtoto wenu!!
 
Kama wewe alikuelewa na ukamweleza akakubali hali yako naamin na wewe wapaswa kukubaliana na hali hiyo. Pia naamin kuna jambo ulishawahi kulisema ndo lililopelekea kukuficha suala la mtoto.

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Unampenda baba mtoto?nakushauri urudiane na mzazi mwenzio mlee mtoto wenu!!

bado moyo wangu hauko tayari kwa kile kilichotokea ingawa anajitahidi sana kunishawishi na mtoto anamlea ka 100%
 
Kama wewe alikuelewa na ukamweleza akakubali hali yako naamin na wewe wapaswa kukubaliana na hali hiyo. Pia naamin kuna jambo ulishawahi kulisema ndo lililopelekea kukuficha suala la mtoto.

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
jambo gani hilo lilifonya anifiche?
 
bado moyo wangu hauko tayari kwa kile kilichotokea ingawa anajitahidi sana kunishawishi na mtoto anamlea ka 100%
Naona uchukue muda utafakari lipi unalotaka kufanya na think whats best for your child!!Kama baba mtoto kajirudi na kaomba msamaha,msamehe hakuna asiye na kasoro wala asiyekosea!!
 
Hapa nikionacho ni mbuzi aliyekula nyasi kavu, sasa anatangatanga wapi anywe maji walau kinyesi kitoke kilaini....

Wake up young lady!!!
 
Kubali umemkosea pa kubwa manake asingekuwa serious na wewe ht mwana asingelea, jitahidi kurudisha mahusiano la km unajua ulifanya kosa ambalo jamaa haezi kusamehe, Mwambie Kuna mtu anatka kukuoa, hujatoa uamuzi bado, mckie atasemaje. Hy WA kwanza asee mchunguze sn, zingine huwa Ni hasira za kuachwa Ss anataka kuja kukuaibisha cku ya harusi
 
Mpaka hapo hesabu maumivu hakuna mapenzi hapo! Issue yakukuficha kuwa ana Mtt ingeleta maana km ndo malayakwanza kukutana lkn nyie mnajuana kitambo so hakukua na 7bu hiyo hata yy anajua! so hata ukiolewa nae ujue utakua mke waPILI Wapenzi mkishazoeana kuna kipind mwenzio anakuchukulia POA so uctegemee atakuwa km vile mlivyokuwa SHULE 7bu mlipoachana kila m2 alianza Upya sasa chakufanya mBANANISHE aliekupa taarifa za Jamaa kuwa anamtoto huenda ukapata ukweli unaotafuta! KAMA HUJUI UNAKOKWENDA HUWEZI KUPOTE!
 
Next time you will learn how to close your legs
 
jambo gani hilo lilifonya anifiche?

yawezekana ulishawahi kutokuonyesha kukubali wa mwenzako hivyo alihisi au kuona akikueleza awali waweza kurudi kwenye msimamo pasi kuangalia uhalisia wa upande wako... au yeye aliamua akae pembeni kwa kuonyesha yu msafi na ukishaingia ndo uyakute ambapo hutaweza kugeuka nyuma
cha msingi kaa nae chini muwekane sawa na kuelezana wapi ni wapi na nani alienda wapi ili kuwe na amani kuliko kuanza kuishi kwa dhana
 
What you do now is up to you. He lied about having child

And it wasn't fair to you because now you've again invested your emotions

into the relationship and he's made it into one big lie.......have YOU talked to him!!!

what did he say!!!!

yes i talked with him and he was agree na kudai alikuwa na hofu labda nisingekubali ila sijaongea nae physical just through a phone.
 
yap' kwanini alinificha ndo wasiwasi wangu ulipo

Hahahaaaaaaaaa! Kweli wewe kichwa maji! Girl are you stupid or what?????? Haupo kwenye position ya kutoa UNNECESSARY DEMANDS kama hizo! Alikuficha, hajakuficha that is not the important thing here! If i must spell it out for you THE IMPORTAN THING IS YOU ARE A SINGLE MOTHER WITH A FATHERLESS( Thank me latter for not calling that baby what it truly is a BASTARD) KID AT HOME AND YOU AINT GETTIN ANY YOUNGER!!!!!!!!!!!! Its now or never girl!!!!!!!

You got tones and tones of shit not going well for you at home, and there comes Mr. Right to make it all go away so that you can smile again an you wanna say NO!!!!!!!! Like seriously????? Girl you trippin! And you trippin bad! Take the brother seriously girl, or else it will be your BAD!!!!!!!!! That is like a second chance and you better use it wisely! Those preposterous demands the time for you making them has passed and the sad part is you are not even aware that time is not in your favor no more!!!!!!!!!!

GROW UP AND SEE THE WORLD AS IT REALLY IS!!!!!!!!!
 
Dada unachekesha kama nini;
Ngoja tu na yeye akupe mimba akuachilie mbali
kwa kuwa unaonekana kama kichwani mwako kuna mawimbi.
 
Mpaka hapo hesabu maumivu hakuna mapenzi hapo! Issue yakukuficha kuwa ana Mtt ingeleta maana km ndo malayakwanza kukutana lkn nyie mnajuana kitambo so hakukua na 7bu hiyo hata yy anajua! so hata ukiolewa nae ujue utakua mke waPILI Wapenzi mkishazoeana kuna kipind mwenzio anakuchukulia POA so uctegemee atakuwa km vile mlivyokuwa SHULE 7bu mlipoachana kila m2 alianza Upya sasa chakufanya mBANANISHE aliekupa taarifa za Jamaa kuwa anamtoto huenda ukapata ukweli unaotafuta! KAMA HUJUI UNAKOKWENDA HUWEZI KUPOTE!
baada ya kupata taarifa nikamuuliza simle tu like that, yule dada uliezaa nae mtoto yuko wapi utaendelea kunificha mpaka lini? akaanza ni kweli kwa mtu unaempenda isingekuwa rahisi kumwambia mapema nikaona ujinga
 
Sa we wasiwasi wako nini?!.

Kuchelewa kukwambia na kutokukwambia kabisa kipi boro tena mwenzio kakwambia aliogopa kukwambia mapema kwa vile anakupenda na alihofia huenda angekwambia mapema ungekataa asikuoe.

Kikubwa hapa heshimu maamuzi ya nafsi yako na pia kuwa makini yasijetokea km ya mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom