Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

Tatizo mtu mwenyewe yupo njia panda hajui achukue direction gani...My instincts tells me kwamba bado anampenda mzazi mwenzie.
ila unajua unapokuwa peke yako kwa muda mrefu unakuaga mpweke na huyo mjamaa mwengine amezuka while she is hurting ndio maana kapata upenyo wa kuhadaika!!

Hili nalo neno mimi49,na ndio nachokiona!
Ndo maana nimemshauri km mzazi mwenzie kajirudi ts better than kwenda kwa hyo mwingine
 
Ngoma draw sema wewe mdada ni mbinafsi sana thats y ukanuna baada ya kusikia jamaa ana mtoto

mwanaume anaejiamini angesema tu kuwa na mtoto sio kuficha na kujifanya mwema naalikuwa anakataa na kujifanya paroko
 
Hili nalo neno mimi49,na ndio nachokiona!
Ndo maana nimemshauri km mzazi mwenzie kajirudi ts better than kwenda kwa hyo mwingine
Hata mi nimemwambia hivohivo madhali mzazi mwenzie kajirudi watulie walee mtoto huyo mwengine atampa headache tu!!Tayari keshaanza kusema uongo,na mtu akishakuwa muongo ujue uongo ni hulka yake,na muongo haachi uongo ni asili yake huko mbeleni pia atamdanganya sana tu..huyu dada asipokuwa makini atakosa mwana na maji ya moto..
 
kichwakipana na bichwa lako pana hapo umechanganyikiwa nini?? Umechunguza huyo mama mtoto hawana mahusiano??
mmmm.....kikweli wanawake mnatuonea sana,mara nyingi uhusiano ulio kuwepo ni just as wazazi walio zaa pamoja.kwani dada yeye anaendeleza mahusiano na huyo alie mzalisha jibu kama ndio basi jua nae anaendeleza yani if u do me i do u
 
Ss mpaka hapo unachotaka ushauriwe nn? Unajua imefichwa mangapi?na ukija kuyajua upo ndani ya ndoa utafanyaje!!?
Rudi kwa mzazi mwenzio.
..unajua watt wanaathirika kiasi gani kisaikolojia kwa kulelewa hivyo!
...ndoa/kuvaa shela ni masaa machache san baada ya hapo unaendelea na maisha ya kawaida!
watu mnachukulia hivi vitu juu juu tu!fikiria mara 2, mtakapoongeza wa ndani ya ndoa ndo utanikumbuka/utaelewa y nakushauri urudi kwa mzaz wenzio

True. Kawaida ni vizuri kabla ya kumake decision mtu ajiulize 'will it matter 5 - 20 years from now?' If yes. Think twice...
 
mmmm.....kikweli wanawake mnatuonea sana,mara nyingi uhusiano ulio kuwepo ni just as wazazi walio zaa pamoja.kwani dada yeye anaendeleza mahusiano na huyo alie mzalisha jibu kama ndio basi jua nae anaendeleza yani if u do me i do u
niliezaa nae sina mahusiano nae tena
 
Wajameni! kwa upande wangu mimi haijalishi wewe umezaa naye kazaa. Mie naangalia je kweli mnapendana? au kwa kuwa kila mmoja katendwa saa anarudi kwa mwenziwe ajipoozee! Usijifariji eti mliachana kwa misunderstanding zilizosababishwa na umbali, huyo sio wako! Huoni kama alikushiti na kupata mwingine ndio akaanzisha zogo? Sidhani kama unamfaa au na yeye anakufaa. Tafuta mwanamume anayekupenda kwa dhati na wewe unayempenda kwa dhati na sio kwa sababu ya kufarijiana tu kwa muda. Usiojione umeshazalishwa basi huna thamani ya kupata kipenzi cha roho, tena muongo asiye wazi, mkifika ndani hakika moto utawaka na ndoa itakuwa ndoana kichwakipana upo???
 
Last edited by a moderator:
si ufurahi jamani utazaa tena mtoto mmoja tu muwe nao watatu, uzazi wa pembeni umerahisisha maisha.
 
Wajameni! kwa upande wangu mimi haijalishi wewe umezaa naye kazaa. Mie naangalia je kweli mnapendana? au kwa kuwa kila mmoja katendwa saa anarudi kwa mwenziwe ajipoozee! Usijifariji eti mliachana kwa misunderstanding zilizosababishwa na umbali, huyo sio wako! Huoni kama alikushiti na kupata mwingine ndio akaanzisha zogo? Sidhani kama unamfaa au na yeye anakufaa. Tafuta mwanamume anayekupenda kwa dhati na wewe unayempenda kwa dhati na sio kwa sababu ya kufarijiana tu kwa muda. Usiojione umeshazalishwa basi huna thamani ya kupata kipenzi cha roho, tena muongo asiye wazi, mkifika ndani hakika moto utawaka na ndoa itakuwa ndoana kichwakipana upo???

nimeelewa happiness
 
Habali zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye miaka hiyo wakati nipo chuo nilikuwa na boyfrend baadae tukawa kama tunamis understantanding fulani hivi sijui ni kwasababu ya umbali anyway, basi mimi nikapata boy mwingine akaja home na akafata taratibu zote bahati mbaya kabla ya ndoa nikashika mimba kabla ya kufunga ndoa kuna mambo yakatokea katikati ikabidi nijifungue kwanza ndo tufunge ndoa.

Nikajifungua salama na maisha yakaendelea kama kawaida,ikiwa tunafanya process za ndoa sielewi nini kiliingilia kati yetu ukweli nashindwa hata kuelewa tulitofautina kwenye simu kama mnavojua mapenzi ya mbali basi yule bwana akakomoa kuwa basi na uhusiano uishie hapo kwa kweli sikuamini kilichotokea wazazi pande zote waliingilia kati wala hakutaka kunielew nilijitahidi kumpembeleza alikataa kata kata fikiria hapo na mtoto mdogo, basi ndugu zake wakawa wananifariji hatimaye nikawa normal.

Nikaendelea kulea mwanangu ila hakuacha kumjulia hali mtoto na kutoa support zote kama kunatatizo hata ndungu zake pia hasa wazazi wake hawa kuwa mbali na mimi kunijulia hali,basi nikazoea.

Sasa yule boyfrend wangu wa mwanzo kama 4yrs imepita akaanza kunitafuta nikamwambia kila kitu kinachoendelea baada ya kuniuliza social life yangu ya mapenzi nikamwambia kuwa na mtoto na blal blah nyingine alisikitika sana ila akakubali hali halisi baadae akawa ananiuliza vipi mbona upo home hujaenda kwako ikabidi nimwambie ukweli wote, akakaa kama miezi 6 then akanambia ooohh tuludie na nini na nin nikakataa badae akanisisitiza akaniambia usijari kuhusu mtoto siwezi kumuhukumu kutokana na historia yetu nikaona isiwe shida nikakubali ila nikamuuliza vipi kuhusu yeye akadai toka tulivoacha 4yrs ago hajaoa wala hana mtoto nikaacha kama yalivo.

Kweli nikaenda kwake hakukuwa kama siku mbili nikarudi alikuwa anaishi mwenyewe, sasa yupo kwenye process za kutaka kuja home ndo hapo utata ulipo nikapata habali ana mtoto nikamuuliza akasema ndiyo ila hakutaka kuniambia sababu ananipenda ningekataa kuoana naye.
nipo njia panda nataka kusitisha zoezi lake la kuja home kwanini hakuniambia hapo mwanzo hadi wengine wanambie?
Ushauri jamani tafadhali

4 my side uamuzi wako ni sahihi kwani ukishaingia kwenye ndoa watakuja kibao na hutoamini
 
Katika mambo hayo jitahidi kua mbele za Mungu na kumsihi yeye akuongoze wapi uelekee,kwa ushauli wangu piga goti mwite Mungu na kuomba afanye wepesi wa kurudi na kuishi na yule ulozaa nae maana hapo pana amani kimsingi

hilo nalo neno!
 
Mbona we una mtoto!!!!!!!!

we kuwa na mtoto sawa ye kuwa na mtoto ndio vibaya!!!!!!

the only thing we can BLAME him is for not being open!!!!!!

Ndo hicho we unadhani angekuwa mwazi tangu awali pangekuwa na walakini?
 
4 my side uamuzi wako ni sahihi kwani ukishaingia kwenye ndoa watakuja kibao na hutoamini

possible mana alikuwa anajisafisha sana kwangu na kuniaccuse ohhh nilivoachana na wewe nikaamua kujikeep buz na kazi na kuachana na mambo ya wanawake mara nyingi nilimuuliza vp muda wote huo hata mtoto wa kusingiziwa huna still una pesa anakataa sina nakujifanya ulienae angekuwa wangu ningefurahi sana,
 
yes angeniambia for the firt time kwanini alinificha.
Sasa hapo kipi huelewi,kaisha sema sababu kwanini hakuseema mapema ni kwamba ungekataa..!
ukweli usha ujua na amekiri kuwa ana mtoto eti bado unauliza kwa nini alikuficha..?
 
he lied to you maana anataka akutake for granted so watch out
 

baba mtt wako alikua
anakutaftia sababu tu pia
huyo zilipendwa wako mi sioni shida
wewe una mtt, na yy ana mtt,ishu ni moyo
jamani,fwata moyo wako mengine baadae!!
 
Rudi kwa baba mtoto wewe acha ujnga!! Achana nahuyo muongomuongo pengne ana mtoto mwingne kwa mwanamke mwingne kalagabaho!!!
 
Mamndenyi umenichekesha sana nimecheka mpaka nikataka kupaliwa na kiepe kichwa kina mawimbi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom