Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

Wewe unawaza sana kwa sababu unataka uolewe na mwanaume asiye na mototo ili akulelee huyo wako na ampende huyo wako tu basi.

Kilichokuumiza ni hidden feelings na doubts kuwa maybe hatompenda mtoto wako kama ulivyozani na atampenda wake tuuu.

Kama type unayoitaka (Mwanume asiye na mtoto) bado haujapata kwa nini ukimbilie kuolewa? Be strong tafuta maisha ukiwa safi wanume watakufuata wenyewe. Achana na kuweka ndoa akilini mwako all the time.
 
Sa we wasiwasi wako nini?!.

Kuchelewa kukwambia na kutokukwambia kabisa kipi boro tena mwenzio kakwambia aliogopa kukwambia mapema kwa vile anakupenda na alihofia huenda angekwambia mapema ungekataa asikuoe.

Kikubwa hapa heshimu maamuzi ya nafsi yako na pia kuwa makini yasijetokea km ya mara ya kwanza.

hakuniambia baada ya mimi kufanya uchunguzi ndo nikagundua kuwa amezaa na mtu baada ya kumuuliza akakubali nakunipa hayo majibu sikatae kuhusu mtoto why hakuniambia yeye direct hadi watu wengine waniambie?
 
...waarabu wa Pemba nyie mwajuana kwa vilemba!!!
 
yule wa kwanza hakuna kibaya nilichokifanya hadi sasa kashirikisha wazazi wake wamuombee msamaha kwa vile alivonitenda lakini moyo wangu bado haupo tayari

Ww acha upumbavu!eti moyo wako haupo tayari!my foot!
Unampenda hyo mtt kweli!?,if yes nakushauri rudi kwa uliezaa nae!
Alivyokutenda kitu gani!?unajua kutedwa ww?km kaomba msamaha rudi haraka sana, baada ya kuangalia future unaangalia yaliyopita?(eti ulivyotendwa)
..unataka hyo mmwanao akienda kwa baba akute mama wa kambo,na akirudi kwa mama kuna baba wa kambo?think twice!
...sshv naona unaharaka na shela, believe mi utajuta huko mbeleni!!
..bora uyamalize na hyo uliezaa nae,huyo mwingine tupa kule!!
 
hapo ni pagumu,.inawezekana alvyoachana naww alpata mw'mke mwngne b'dae wamegombana akaon akurudie wew au bado ana mw'mke ila yup mbal na ameona ww ndo rahc kuzba nafac kwa muda,.unahtaj muda na akil kubwa kuupata ukwel wake...vngnevyo utalia tena.!! kkubwa chunguza maisha yake baad ya kuachan naww yalkuwaje??
 
hakuniambia baada ya mimi kufanya uchunguzi ndo nikagundua kuwa amezaa na mtu baada ya kumuuliza akakubali nakunipa hayo majibu sikatae kuhusu mtoto why hakuniambia yeye direct hadi watu wengine waniambie?

Ss mpaka hapo unachotaka ushauriwe nn? Unajua imefichwa mangapi?na ukija kuyajua upo ndani ya ndoa utafanyaje!!?
Rudi kwa mzazi mwenzio.
..unajua watt wanaathirika kiasi gani kisaikolojia kwa kulelewa hivyo!
...ndoa/kuvaa shela ni masaa machache san baada ya hapo unaendelea na maisha ya kawaida!
watu mnachukulia hivi vitu juu juu tu!fikiria mara 2, mtakapoongeza wa ndani ya ndoa ndo utanikumbuka/utaelewa y nakushauri urudi kwa mzaz wenzio
 
za kuambiwa changanya na zako!!
Nafikiri somtym unatakiwa utumie akili sio moyo tu!
..ss ww tumia moyo,bila akili halafu mbele ya safari utaelewa!
..hakuna binadamu aliyekamilika,hyo mzazi mwenzio km kajirudi its better kuliko hyo mwingine!
Cha mhim mchunguze kimya2
 
Wewe unawaza sana kwa sababu unataka uolewe na mwanaume asiye na mototo ili akulelee huyo wako na ampende huyo wako tu basi.

Kilichokuumiza ni hidden feelings na doubts kuwa maybe hatompenda mtoto wako kama ulivyozani na atampenda wake tuuu.

Kama type unayoitaka (Mwanume asiye na mtoto) bado haujapata kwa nini ukimbilie kuolewa? Be strong tafuta maisha ukiwa safi wanume watakufuata wenyewe. Achana na kuweka ndoa akilini mwako all the time.

tatizo sio mtoto kama mtu anaweza kukuficha jambo kama hilo asikwambie mapema unadhani mangapi anayafanya nyuma ya panzia
 
ulimuuliza? Au ulitaka ajitolee kukwambia?
 
yap' kwanini alinificha ndo wasiwasi wangu ulipo

we usijali bana endelea na mipango ya ndoa, hiyo kuficha wala isiwe big ishu kiivyoooo, si elimradi umejua? inatosha.. ujue hayo si mambo mazuri mtu kujisifia, ndio maana akaficha..
na pia hapo mnaendana vzr na hao wtt mtawalea vzr hakuna atakayemsema mwenzie wala kumnyanyasa mtt wa mwenzie..
mi rafiki yng ambaye hakuwa na mtt alijua mchumba wake ana mtt wiki moja kabla ya ndoa na still akafunga ndoa seuze ww uliye na mtt tayari?
nakwambia dada ukiahia hiyo bahati utakuja kujutia, manake hapo ndio umshazaa soko lako limepungua sana km hujui..
ikipita miaka 2-3 hujapata wa kukuweka ndani ndio utakumbusha usia huu
 
jmn akili ni nywele kila mtu ana zake mshaurini tu sio kumchamba basi yeye tatizo lake ni uwazi hapo si mtoto yani amepata hofu kwamba je mengine mangapi atakuwa anafichwa kila mtu anajua kufichwa mambo fulani fulani inapunguza uaminifu sana
 
tatizo sio mtoto kama mtu anaweza kukuficha jambo kama hilo asikwambie mapema unadhani mangapi anayafanya nyuma ya panzia

we nae kitu kdg sana hicho unakazania, sasa naanza kuona kwa nn yule wa kwanza alikuacha, kuna vitu wala huna haja ya kuumiza kichwa..sasa angekwambia ndio ingebadilisha nn? kama mm ndio ww wala nisingeumiza kichwa mara mbili kwa jambo ambalo ht mi mwenyewe nimefanya..
 
Walio na watoto nje ya ndoa wengi wameishia kuishi peke yao so usipoteze bahati yako endelea na utaratibu wa ndoa ila ndo ujiweke tu tayari ukija kusikia kuna mwingine uwe tayari ukubali lisiwe jambo la kukushtua na kuvuruga ndoa yako maana kama alificha ina maana anaweza kuwa na wengine ameficha kama umempenda basi hicho ndo cha muhimu
 
za kuambiwa changanya na zako!!
Nafikiri somtym unatakiwa utumie akili sio moyo tu!
..ss ww tumia moyo,bila akili halafu mbele ya safari utaelewa!
..hakuna binadamu aliyekamilika,hyo mzazi mwenzio km kajirudi its better kuliko hyo mwingine!
Cha mhim mchunguze kimya2
uliniacha bila sababu ya msingi wala hakujali kama na mtoto mdago saivi tena ndo aone umuhimu wangu kila mtu alishangaa kwa maamuzi yake kila akiulizwa tatizo nini hasemi oooh bla blah tu
 
mhhn!
hiki ni kituko kingine kwa kuwaleo lunch siendi kwa ajili ya mfuko ngoja nijaribu kama naweza kusema chochote wakati napunguza njaa.
kwa harakaharaka wewe ndiwe mwenye matatizo zaidi kuliko wanaume wote wawili. unaonekana ni mtu unahisi kuumizwa na unasikia raha kulialia kwa kuwapa wengine lawama. lakini lililobaya zaidi ni mwepesi kujiachia na kumwamini mwanaume kwa haraka sana.
katika simanzi hii ya kulalamika kudanganywa nauhakika akitokea mwanaume aliyepanga mistari vizuri na akahaidi kukuoa basi na wewe unahama kwa huyo mwanaume wako.
huna maamuzi katika mambo yako mwenyewe na hasa mahusiano ki ukweli unahitaji kujifunza zaidi.
lakini kumbuka kunatofauti kubwa sana kati ya boyfriend na mchumba. boy friend huwa hajajiandaa kuwa mme na ndio maana uhusiano unaweza kufa wakati wote kwa kuwa hajaweka mawazo yake kwako kwa kiasi kikubwa ni mechi za mchangani zisizo na ligi.
sasa nini ufanye
kwanza kubali kuwa unamapungufu katika hili
jua mahitaji yako nini unataka mme/boyfriend
tazama asilia yako umelelewaje, nafsi ya familia katika kuolewa ikoje na mapungufu yako yakoje
kipi unaweza kurekebisha kipi uwezi na unafikiri unaweza kujifunzaje ili uweze kikusaidie uwe mke mzuri
ukiweza mshirikishe huyo uliezaa naye aliona nini mpaka akaghaili ili urekebishe upokuwa na mwanaume mwingine haya yasitokee ili uweze kulea mtoto wenu vizuri.
la muhimu zaidi mshirikishe MUNGU zaidi katika kukusaidia katika hili.
pole maneno ni makali njaa nayo inachangia
lakini huu ndio mchango wangu
 
Ngoma draw sema wewe mdada ni mbinafsi sana thats y ukanuna baada ya kusikia jamaa ana mtoto
 
jmn akili ni nywele kila mtu ana zake mshaurini tu sio kumchamba basi yeye tatizo lake ni uwazi hapo si mtoto yani amepata hofu kwamba je mengine mangapi atakuwa anafichwa kila mtu anajua kufichwa mambo fulani fulani inapunguza uaminifu sana
Tatizo mtu mwenyewe yupo njia panda hajui achukue direction gani...My instincts tells me kwamba bado anampenda mzazi mwenzie.
ila unajua unapokuwa peke yako kwa muda mrefu unakuaga mpweke na huyo mjamaa mwengine amezuka while she is hurting ndio maana kapata upenyo wa kuhadaika!!
 
uliniacha bila sababu ya msingi wala hakujali kama na mtoto mdago saivi tena ndo aone umuhimu wangu kila mtu alishangaa kwa maamuzi yake kila akiulizwa tatizo nini hasemi oooh bla blah tu

Subiri nikwambie kitu mpenzi, do u knw that shetani yupo kazini eeh!ss hapo alipokuacha bila sbb ndo ujue there s somthing,trust mi its satan,kuna kitu kwny hyo couple yenu, ndo maana satan ameharibu bcoz satan anachofanya ni ku-hold u a destiny/future, na njia anazotumia ni nyingi, ss km sio mtu wa rohoni/imani ni ngumu kuelewa nachokwambia,coz unaenenda kwa jinsi ya mwili
Na always anachofanya ni kuku-kupush kwa mtu mwingine ambae siyo God s will!!...yaani i wish nikukuwekee hii akili yangu!ingekusaidia kung'amua kitu.
 
Back
Top Bottom