Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

kichwakipana

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
206
Reaction score
45
Habali zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye miaka hiyo wakati nipo chuo nilikuwa na boyfrend baadae tukawa kama tunamis understantanding fulani hivi sijui ni kwasababu ya umbali anyway, basi mimi nikapata boy mwingine akaja home na akafata taratibu zote bahati mbaya kabla ya ndoa nikashika mimba kabla ya kufunga ndoa kuna mambo yakatokea katikati ikabidi nijifungue kwanza ndo tufunge ndoa.

Nikajifungua salama na maisha yakaendelea kama kawaida,ikiwa tunafanya process za ndoa sielewi nini kiliingilia kati yetu ukweli nashindwa hata kuelewa tulitofautina kwenye simu kama mnavojua mapenzi ya mbali basi yule bwana akakomoa kuwa basi na uhusiano uishie hapo kwa kweli sikuamini kilichotokea wazazi pande zote waliingilia kati wala hakutaka kunielew nilijitahidi kumpembeleza alikataa kata kata fikiria hapo na mtoto mdogo, basi ndugu zake wakawa wananifariji hatimaye nikawa normal.

Nikaendelea kulea mwanangu ila hakuacha kumjulia hali mtoto na kutoa support zote kama kunatatizo hata ndungu zake pia hasa wazazi wake hawa kuwa mbali na mimi kunijulia hali,basi nikazoea.

Sasa yule boyfrend wangu wa mwanzo kama 4yrs imepita akaanza kunitafuta nikamwambia kila kitu kinachoendelea baada ya kuniuliza social life yangu ya mapenzi nikamwambia kuwa na mtoto na blal blah nyingine alisikitika sana ila akakubali hali halisi baadae akawa ananiuliza vipi mbona upo home hujaenda kwako ikabidi nimwambie ukweli wote, akakaa kama miezi 6 then akanambia ooohh tuludie na nini na nin nikakataa badae akanisisitiza akaniambia usijari kuhusu mtoto siwezi kumuhukumu kutokana na historia yetu nikaona isiwe shida nikakubali ila nikamuuliza vipi kuhusu yeye akadai toka tulivoacha 4yrs ago hajaoa wala hana mtoto nikaacha kama yalivo.

Kweli nikaenda kwake hakukuwa kama siku mbili nikarudi alikuwa anaishi mwenyewe, sasa yupo kwenye process za kutaka kuja home ndo hapo utata ulipo nikapata habali ana mtoto nikamuuliza akasema ndiyo ila hakutaka kuniambia sababu ananipenda ningekataa kuoana naye.
nipo njia panda nataka kusitisha zoezi lake la kuja home kwanini hakuniambia hapo mwanzo hadi wengine wanambie?
Ushauri jamani tafadhali
 
Usikurupuke kuwa nae karibu mchunguze kiundan zaid kabla ya kumruhusu kuja nyumban kwenu
 
Katika mambo hayo jitahidi kua mbele za Mungu na kumsihi yeye akuongoze wapi uelekee,kwa ushauli wangu piga goti mwite Mungu na kuomba afanye wepesi wa kurudi na kuishi na yule ulozaa nae maana hapo pana amani kimsingi
 
ila yule mwanaume wa kwanza PASUA KICHWA.....

kukorofishana tena kwenye sim tu akasitisha process zote za ndoa looh!!!

au ulimuuzi pakubwa saana!!!!!!!!!!1
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! We enedekeza mashauzi mbuzi!!!!!!!!!!! Yaani ushatendwa once ila hukomi kabisaaa! Y

Yani it surprises me alivokukubalia kirahisi rahisi ukajihisi clepatra ghafla unapendwa kwa hali zote! Come on! Now umejua ali let it slide because na yeye ni culprit wa same situation!!!!!!!! There all the cards are on the table!!!!!!!! Mkuki kwa nguruwe eeeh kwa binadamu ...............!!!!!!!!! Kuzaa uzae wewe akizaa mwenzio mala.ya!!!!!!!!!!!!

But i still see its a GOOD DEAL!!!!!!!!!! Given your current circumstances take it but with caution!!!!!!!!!!! Usijiachie ukabeba ingine UMEKWISHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!! Hapo just have fun, mpaka ndoa ndo get serious!!!!!!

On the mean time nakukaribisha ujinge kupanga uzazi na NYOTA YA KIBLUE!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thread zingine michosho tu, wewe umezaa nje ya ndoa ni mzinzi na yeye amezaa nje ya ndoa ni mzinzi sasa ni kipi kinachokusumbuwa?

Yaani ukweli wa mtu usiupate wewe Ambaye upo naye na ndugu zake wa kukupa information wapo ndio uje uupate hapa kwa njia maandishi? Haya ni matumizi mabaya ya JF MMU.
 
Sielewi kwanini amekuficha kama ana mtoto?Nina wasiwasi kuna vitu vingine vikubwa zaidi ana ficha!!Lazima uwe makini na huyo mtu usimuamini 100%.Lisikuumize sana hilo suala kuwa yeye ana mtoto coz hapo ni ngoma droo!!
 
Kinachomsumbua ni mwenzake kumdanganya.
 
kichwakipana kwa mtazamo wangu nakuona kuwa wewe ndio mwenye tatizo tangu kwa yule wa kwanza na huyu wa pili. hukusema kama ulichukua hatua gani kuujenga uhusiano wako wa awali baada ya kutofautiana bali ulikimbilia kuanzisha uhusiano mpya.

Nadhani ulifanya kosa kubwa sana kwa huyo boy wako wa pili hadi kusitisha uhusiano ambao ulikuwa ktk hatua za juu sana kuelekea ndoa kiasi ambacho alishindwa kushawishika toka kwa ndugu wa pande mbili ikiwa ni pamoja na wewe. nadhani hivyo kutokana na jinsi anavyomjali mwanae.

Nadhani kutokana na tabia yako ya kutokuwa mwelewa labda ndio sababu ya huyu wa sasa kuhofia kukueleza ukweli maana kumbuka mwanzo ulimuacha kwa kutotaka kumaliza tofauti zenu.

Ikiwa utamzuia kuendelea na taratibu za ndoa nadhani itakuchua muda sana kuambiwa habari za ndoa na pengine usiambiwe kabisa ktk maisha yako yaliyobaki kutokana na historia mbaya unayozidi kuiboresha.

wakati mwingine katika mazingira magumu unapaswa uusaliti moyo wako na kufuata kichwa chako.
 
Last edited by a moderator:
Sielewi kwanini amekuficha kama ana mtoto?Nina wasiwasi kuna vitu vingine vikubwa zaidi ana ficha!!Lazima uwe makini na huyo mtu usimuamini 100%.Lisikuumize sana hilo suala kuwa yeye ana mtoto coz hapo ni ngoma droo!!

ni kweli swala la mtoto wala si tatizo kihivoo ila kwanini hakuniambia toka mwanzo hapo ndo napata wasiwasi.
 
kichwakipana kwa mtazamo wangu nakuona kuwa wewe ndio mwenye tatizo tangu kwa yule wa kwanza na huyu wa pili. hukusema kama ulichukua hatua gani kuujenga uhusiano wako wa awali baada ya kutofautiana bali ulikimbilia kuanzisha uhusiano mpya.

Nadhani ulifanya kosa kubwa sana kwa huyo boy wako wa pili hadi kusitisha uhusiano ambao ulikuwa ktk hatua za juu sana kuelekea ndoa kiasi ambacho alishindwa kushawishika toka kwa ndugu wa pande mbili ikiwa ni pamoja na wewe. nadhani hivyo kutokana na jinsi anavyomjali mwanae.

Nadhani kutokana na tabia yako ya kutokuwa mwelewa labda ndio sababu ya huyu wa sasa kuhofia kukueleza ukweli maana kumbuka mwanzo ulimuacha kwa kutotaka kumaliza tofauti zenu.

Ikiwa utamzuia kuendelea na taratibu za ndoa nadhani itakuchua muda sana kuambiwa habari za ndoa na pengine usiambiwe kabisa ktk maisha yako yaliyobaki kutokana na historia mbaya unayozidi kuiboresha.

wakati mwingine katika mazingira magumu unapaswa uusaliti moyo wako na kufuata kichwa chako.

yule wa kwanza hakuna kibaya nilichokifanya hadi sasa kashirikisha wazazi wake wamuombee msamaha kwa vile alivonitenda lakini moyo wangu bado haupo tayari
 
Habali zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye miaka hiyo wakati nipo chuo nilikuwa na boyfrend baadae tukawa kama tunamis understantanding fulani hivi sijui ni kwasababu ya umbali anyway, basi mimi nikapata boy mwingine akaja home na akafata taratibu zote bahati mbaya kabla ya ndoa nikashika mimba kabla ya kufunga ndoa kuna mambo yakatokea katikati ikabidi nijifungue kwanza ndo tufunge ndoa.

Nikajifungua salama na maisha yakaendelea kama kawaida,ikiwa tunafanya process za ndoa sielewi nini kiliingilia kati yetu ukweli nashindwa hata kuelewa tulitofautina kwenye simu kama mnavojua mapenzi ya mbali basi yule bwana akakomoa kuwa basi na uhusiano uishie hapo kwa kweli sikuamini kilichotokea wazazi pande zote waliingilia kati wala hakutaka kunielew nilijitahidi kumpembeleza alikataa kata kata fikiria hapo na mtoto mdogo, basi ndugu zake wakawa wananifariji hatimaye nikawa normal.

Nikaendelea kulea mwanangu ila hakuacha kumjulia hali mtoto na kutoa support zote kama kunatatizo hata ndungu zake pia hasa wazazi wake hawa kuwa mbali na mimi kunijulia hali,basi nikazoea.

Sasa yule boyfrend wangu wa mwanzo kama 4yrs imepita akaanza kunitafuta nikamwambia kila kitu kinachoendelea baada ya kuniuliza social life yangu ya mapenzi nikamwambia kuwa na mtoto na blal blah nyingine alisikitika sana ila akakubali hali halisi baadae akawa ananiuliza vipi mbona upo home hujaenda kwako ikabidi nimwambie ukweli wote, akakaa kama miezi 6 then akanambia ooohh tuludie na nini na nin nikakataa badae akanisisitiza akaniambia usijari kuhusu mtoto siwezi kumuhukumu kutokana na historia yetu nikaona isiwe shida nikakubali ila nikamuuliza vipi kuhusu yeye akadai toka tulivoacha 4yrs ago hajaoa wala hana mtoto nikaacha kama yalivo.

Kweli nikaenda kwake hakukuwa kama siku mbili nikarudi alikuwa anaishi mwenyewe, sasa yupo kwenye process za kutaka kuja home ndo hapo utata ulipo nikapata habali ana mtoto nikamuuliza akasema ndiyo ila hakutaka kuniambia sababu ananipenda ningekataa kuoana naye.
nipo njia panda nataka kusitisha zoezi lake la kuja home kwanini hakuniambia hapo mwanzo hadi wengine wanambie?
Ushauri jamani tafadhali

kuna msemo unasema aliyeng'atwa na nyoka akiona mjusi huruka juu. Wewe ni mwanamke wa ajabu----easy going. wanawake wenzako wanaweza kukuona zuzu. kwa maelezo yako hata haijapita miaka mitatu tangu huzalishwe na kutelekezwa, kisha umekubali kumkumbatia nyoka mwingine...shame on you.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! We enedekeza mashauzi mbuzi!!!!!!!!!!! Yaani ushatendwa once ila hukomi kabisaaa! Y

Yani it surprises me alivokukubalia kirahisi rahisi ukajihisi clepatra ghafla unapendwa kwa hali zote! Come on! Now umejua ali let it slide because na yeye ni culprit wa same situation!!!!!!!! There all the cards are on the table!!!!!!!! Mkuki kwa nguruwe eeeh kwa binadamu ...............!!!!!!!!! Kuzaa uzae wewe akizaa mwenzio mala.ya!!!!!!!!!!!!

But i still see its a GOOD DEAL!!!!!!!!!! Given your current circumstances take it but with caution!!!!!!!!!!! Usijiachie ukabeba ingine UMEKWISHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!! Hapo just have fun, mpaka ndoa ndo get serious!!!!!!

On the mean time nakukaribisha ujinge kupanga uzazi na NYOTA YA KIBLUE!!!!!!!!!!!!!!!
yap' kwanini alinificha ndo wasiwasi wangu ulipo
 
Back
Top Bottom