Aiseee mimi natumia KCB sijawahi kutana na wakala hata mmoja.Ni Bank Pekee ambayo ukituma pesa kwa PayPal kisha ikirudishwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako (hapa nawapongeza sana)
Usihangaike na matawi mkuu, matawi ni machache ila mawakala ni wengi,
unaijua Banc ABC wewe? Hii ndo Bank yenye matawi machache na mawakala ni wachache zaidi kuliko idadi ya matawi
Mimi hawajawahi kuniambia hizo habari nilienda na NIDA tu basiAiseee mimi natumia KCB sijawahi kutana na wakala hata mmoja.
BancABC niliona wachawi walivoniambia Nikalete barua ya utambulisho ya serikali za mitaa na Nida juu.
sikutaka kuendelea nao.
Tumuache kwanza, tumalize misiba yetu kwanza na CRDBTumsimulie mtoa maada kuhusu CRDB au tumuache aendelee kulialia hapa?
Kwa miezi miwiliKwa mwaka au?
CRDB annual card fee kwa mwaka ni 14,000/=
Hiii mbona hasara sasa jamanCRDB nilifungua akaunti nikaweka 5000, baada ya mwezi ikakauka kabisa.
BANCABC hawana makato ya mwezi ila ATM na matawi ni machache. nilitoa 5000 kwa wakala makato 2800.
Hawana makatoo ya mwezii?Equity makato ya ATM ni tsh 1,000. NMB makato ya Atm ni tsh 1,200.
Hapo bado kuna tozo aloooh!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]
nilinunua bidhaa flani Amazon ambayo haikuweza kufika nchini, fedha yangu ikawa refunded na fasta muamala ukasoma Equity!Ni Bank Pekee ambayo ukituma pesa kwa PayPal kisha ikirudishwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako (hapa nawapongeza sana)
Usihangaike na matawi mkuu, matawi ni machache ila mawakala ni wengi,
unaijua Banc ABC wewe? Hii ndo Bank yenye matawi machache na mawakala ni wachache zaidi kuliko idadi ya matawi
Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!
Nana maelekezo mkuu mahala nilipo hakuna benk kabisaaaaHakuna bank ambayo iko vijijini kwa sababu za usalama ila kuna mawakala binafsi vijijini.
Hata wewe kijijini kwenu unaweza kuanzisha ki-digital bank chako ukawa wakala wa bank zoooote
Tatizo la NMB na CRDB ni ufisadi uliopo katika mifumo yetu ya kitaasisi.Ukistuka kuona kichuguu(NMB),, basi utazimia ukiuona mlima (CRDB)