CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,923
Tayari Benki Kuu walishatangaza kupunguza riba kwa mabenki ili nao washushe kwa wateja wao.
Hapo nyuma riba zilikuwa 20%,
Badae wakaja 18% na 17%
CRDB wameshusha kutoka 17 kwenda 16
NMB wakakomaa na 17,
Sasa leo CRDB wametoka 16 hadi 13%
NMB ndio kwanza hata habari hawana.
Ni kweli NMB ina wateja wengi kuliko benki nyingine lakini haina maana waendelee na unyonyaji wakati wao riba washapunguziwa na BoT.
Serikali iwalazimishe hawa NMB ikiwezekana hadi 9% kutoka hiyo 17% iliyopo sasa