Ongea nao 0800 00 2002NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma.
Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa 'huduma hii kwa sasa haipatikani'. Naangalia salio, mmekata Tsh 200 kutoka kwenye simu yangu. Huu ni wizi. Kulipia ni sawa, lakini ulipie ukiwa umepata huduma unayokusudia.
Hii ni aibu kwa kaliba yenu na mnaojitanabahisha kufuata sheria za nchi. Mnakera sana.
Naamini ipo siku mtakutana na mwizi mwenzenu, atawaburuza na mtalipa gharama kubwa, iwe ya pesa ama taswira ya kampuni.
Wakatabahu
INFOPAEDIA
Sasa ndugu yabgu, unayaonea bure mabank, hizo tozo zinakatwa na kampuni za simu siyo bank, kama unavyoaminiKuna hawa CRDB na voda kwa wizi ni balaa wao wanakata 200, ukitaka kufanya muamala upo kati inakuja sms huduma haipatikani kwa sasa hapo ujue umeshakatwa 200 na haijawahi kutokea muamala ukakamilika mara moja lazima ujaribu mara tatu au nne
Hiyo inawezekana mkuu, mimi natumia simu ya tochi (not smart4n) na natamba vizuri tu humu ndani, sema inachosha sanaInamaana hapa unapost kwa kutumia simu ya tochi?
Hivyo bank haihusiki na hayo makato, njia rahisi ni kuwa na app, bando lako linatumika kuaccess hizo huduma
Kotapini!! (Kuingia kwa nyundo, kutoka kwa nyundo)