Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,496
Wengine tunakatwa TZS. 100 kila tukitumia bank USSD, Huwa natuumia hii *150*07#lakini nakuta kiasi cha Tsh 50
Siyo wote wenye simu janja.Tumia app
NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi ...
Hapa ndipo wizi unapoanzia.Wengine tunakatwa TZS. 100 kila tukitumia bank USSD, Huwa natuumia hii *150*07#
=
View attachment 2557537
Airtel nao wanakwiba kwenye salio la simu afu wanakwiba tena kwenye akaunti.Wengine tunakatwa TZS. 100 kila tukitumia bank USSD, Huwa natuumia hii *150*07#
=
View attachment 2557537
Sisi wengine tochi zetu ndio zina simu. Tofauti na nyie ambao simu zenu ndio zina tochi.Tumia NMB APK install katika simu yako ,utaepukana na makato yasiyo ya msingi
Inamaana hapa unapost kwa kutumia simu ya tochi?Sisi wengine tochi zetu ndio zina simu. Tofauti na nyie ambao simu zenu ndio zina tochi.
Laptop. Au naweza kuweka hiyo apk kwenye hii laptop?Inamaana hapa unapost kwa kutumia simu ya tochi?
Mtu anayemiliki laptop na kuweza kununua bundle kwenye moderm aunganishe kwenye Laptop, huyo anaweza kumiliki smart phone tena nzuri tuLaptop.
Sina uhakika kama nimekuelewa vizuri. Ila nimeelewa kwamba kwa mtazamo wako, kumiliki simu fulani pia kunaendana na uwezo wa kiuchumi wa muhusika.Mtu anayetumia laptop na kuweza kukua bundle kwenye moderm aunganishe kwenye Laptop, huyo anaweza kumiliki smart phone tena nzuri tu
Nafikiri tuwe na tabia ya kushukuru Mungu hata kwa kile kiasi alichotuwezesha
Sidhani kama kuna excuse ya maana ya kuyokutumia smart phone kama uchumi unaruhusu,Sina uhakika kama nimekuelewa vizuri. Ila nimeelewa kwamba kwa mtazamo wako, kumiliki simu fulani pia kunaendana na uwezo wa kiuchumi wa muhusika.
Kama ni hivyo, dah!! pole sana. Nachelea kusema ni dhana potofu sana. Wengine hizi simu ni mtindo wa maisha tu. Hazina uhusiano na uchumi.
Mtu anashuka kwenye gari yake ya bei ya juu tu, lakini mkononi kashika tochi yenye simu. Na kuna mtu kula yake ya kuunga-unga lakini anatumia simu janja ya bei ya juu sana. Ndio maisha yetu.
😂🙆NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma.
Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa 'huduma hii kwa sasa haipatikani'. Naangalia salio, mmekata Tsh 200 kutoka kwenye simu yangu. Huu ni wizi. Kulipia ni sawa, lakini ulipie ukiwa umepata huduma unayokusudia.
Hii ni aibu kwa kaliba yenu na mnaojitanabahisha kufuata sheria za nchi. Mnakera sana.
Naamini ipo siku mtakutana na mwizi mwenzenu, atawaburuza na mtalipa gharama kubwa, iwe ya pesa ama taswira ya kampuni.
Wakatabahu
INFOPAEDIA