NMB Salary Advance acheni wizi

Watu wamekuwa wakikopa 100,000 na kurejesha 130,000 kwa mwezi so huoni kuwa 100,000 kwa 106,000 ni nafuu sana
 
Unaomba kiasi usicho stahili best!! Angalia hazina inakupa shilingi ngapi yaani ile ammount yamwisho unayopokea bank, kisha itaftie asilimia 40 au ingia hapo kwenye menu kopa, salry advance nenda kiasi unacho stahili utajua nikiasi gani wewe unaweza kukopa!
 

Yoga uko floor ya ngapi pale? Maana sio kwa maelezo hayo ukienda kesho msalimie Ineke [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu mapovu yote ya nini, asa kama unataka kukopa wewe si uende kukopa mbona unanilazimisha mkopo nisiouhitaji? Wewe vp bhana!
...ona sasa!nani kakulazimisha??
..na kama uhuitaji kiherehere cha nini!?
 
Mkuu kiasi nachostahili kukopa ni Tsh 95 elfu , sasa mm nilikuwa nawaomba 60 wakazingua , nikashuka mpaka 50 piaaa wakazingua kwamba muamala haujakamilika , nijaribu baadaeee
 
Mkuu kiasi nachostahili kukopa ni Tsh 95 elfu , sasa mm nilikuwa nawaomba 60 wakazingua , nikashuka mpaka 50 piaaa wakazingua kwamba muamala haujakamilika , nijaribu baadaeee
Mm nimejaribu imegoma ,nimeoneshwa kiwango ni 495,000 nikajaribu kukopa laki moja ikakaktaa
 
niliomba laki mbili wamenikata elfu 20 badala ya elfu 12!
sirudii tena pambaf
 
ngoja nijisubscribe kabsa,, nmechoka kuweka ATM bond[emoji16] [emoji16]
 
Mm nimejaribu imegoma ,nimeoneshwa kiwango ni 495,000 nikajaribu kukopa laki moja ikakaktaa
Nikaenda Bank kufatilia wakasema wao hawawezi tatua lipo nje ya uwezo waooo.
Nikaongeaa na NMB makao makuuu wakaniambia sasa ni muda wa marejesho nisubiri hadi tarehe 1 mwezi 4 mambo yatakuwa safi.
Kufika tarehe moja naingia kwenye mfumo naambiwa Huduma haijakamilika jaribu baadae.

Nawaona kama ni wababahishaji tuuuu. Wamekurupuka na Huduma yaooo mbovu bila kufanya utafiti
 
Hahahahaha we ulitaka wakate mdogo mdogo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] iyo inakatwa yooote best
Kuna vigezo gani vingine iwapo mshahala wangu unapita nmb na nina miaka mitano sasa,,, lkn jana nmejarbu imegoma,, wanasema sijatmiza masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…