NMB. Please msaada wa interview zao kwa wajuzi

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,177
Salamu kwenu Marafiki watafutaji.

Msaada juu ya kichwa cha habari hapo juu. Ningependa kujua nature ya maswali yatolewayo hasa written kwa taasisi kama NMB
 
Jiandae na BODMAS za kutosha
 
Kwani NMB wanatangazaga nafasi za kazi jaman? Mbona sijawahi kusikia.
Salamu kwenu Marafiki watafutaji.

Msaada juu ya kichwa cha habari hapo juu. Ningependa kujua nature ya maswali yatolewayo hasa written kwa taasisi kama NMB
 
Mkuu halafu inaonesha una hasira za ghafla na kupanic.... kuwa makini itakusaidia kwenye oral interview kama ukifaulu written...yangu ni hayo tu

maswali yanabadilika usitegemee ya kukaririshwa

[emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu jua kali tu hadi kichwa kinachemka...
 
Mkuu halafu inaonesha una hasira za ghafla na kupanic.... kuwa makini itakusaidia kwenye oral interview kama ukifaulu written...yangu ni hayo tu

maswali yanabadilika usitegemee ya kukaririshwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio Siri wakuu naona mnataka niendelee kukaa home, sioni possible questions mkinipa zaidi ya utani mwingi
 
Back
Top Bottom