NMB Tanzania
Official Account
- Sep 13, 2014
- 94
- 232
- Thread starter
- #21
Mnapoamua kutangaza bidhaa zenu kuweni makini sana na sura/muonekano wa watu mnaowatumia kutangaza kwenye mabango yenu.
Picha zenu nyingi zina watu wenye muonekano ule wa Afrika Magharibi, mnaweza mkaona hiki ni kitu kidoga lakini kina mantika kubwa sana kibiashaara.
Asante kwa ushauri wako ndugu Jacob na tutaufanyia kazi,
Karibu upate mkopo wa Nyumba