Hiyo unaingiziwa kwenye akaunti au kwenye M-PESA? na unailipa vipi..Mbona me nimeipata sasa
GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
Sijajua hata maana leo ndo kwa mara ya kwanza baada ya kunasa haswa nikaone nijaribu hukuHiyo unaingiziwa kwenye akaunti au kwenye M-PESA? na unailipa vipi..
Hatari sana, ka mshahara sungura hakajawahi kumwacha mtu salama.Sijajua hata maana leo ndo kwa mara ya kwanza baada ya kunasa haswa nikaone nijaribu huku
Ikumbukwe juzi salary advance tayari nilichukua kiasi kadhaa na ikatiwa chini ya pua yote
Duh,liba ndogo hiviMbona me nimeipata sasa
GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
Mkopo wa siku 7, elfu 30,000 riba elfu 2,880 unasema riba ndogo?Duh,liba ndogo hivi
Hujui hesabu etiDuh,liba ndogo hivi
Ungeuliza riba ndogo kulingana na nani???Hujui hesabu eti
NMB nao wameianzisha hiyo huduma? Wamegundua walikuwa wakiipoteza fursa?Mbona me nimeipata sasa
GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
Sababu kwa sasa defaulters wanaungwa huko CRBHuduma ya Mshiko fasta bado haileweki hususa kwenye Vigezo na masharti
Mfano ikiwa unadaiwa na Mitandao ya simu bac hata mshiko fasta pia hupati sasa mtu unajiuliza Bank na Mitandao ya simu wapi na wapi?mbona unadaiwa na Voda lakini Tigo,airtel wanakupa mkopo kama kawaida
50,000NMB nao wameianzisha hiyo huduma? Wamegundua walikuwa wakiipoteza fursa?
Ila hongera zao! Wanakopesha mpaka shilingi ngapi?
ichi kitu kimetokea kwa watu wengi sana.wanatakiwa wakirekebishejaman mm nilichukua nikachelewesha kurejesha nikala ban, sijui ata itaisha lini maana baada ya kurudisha kila nikijaribu kukopa tena inasema rejesha mkopo wako, daaah