NMB mkononi kuna shida gani leo?

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,419
15,974
Tangia asubuhi na mapema leo najaribu kufanya miamala kupitia huduma ya NMB MKONONI bila mafanikio na namba za huduma kwa wateja hazipokelewi. Je kuna anae experience hili tatizo au ni mimi tuu?

Na kama kuna tatizo mbona hawaarifu wateja wao ukizingatia kipindi hiki cha covid-19 tunashauriwa tutumie cashless services? NMB kunani? NMB Tanzania kuja hapa.
 
Mbaya zaidi kuna makato kila ukingia kwenye account. Unajibiwa transaction failed, try again lallter"
Tangia asubuhi na mapema leo najaribu kufanya miamala kupitia huduma ya NMB MKONONI bila mafanikio na namba za huduma kwa wateja hazipokelewi. Je kuna anae experience hili tatizo au ni mimi tuu?

Na kama kuna tatizo mbona hawaarifu wateja wao ukizingatia kipindi hiki cha covid-19 tunashauriwa tutumie cashless services? NMB kunani? NMB Tanzania kuja hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii banki wakubwa sio kabisa. Wafanyakazi wake wana nyodo sana . Wanatengeneza sana mazingira ya rushwa rushwa kiujumla ni wapuzi. Naomba wataalamu muweke utaratibu wa kuhamisha account za mishahara kutoka bank moja kwenda nyingine unakuwaje niwahame hawa washenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu naomba msaada je kampuni yeyote ya mikopo inaweza kuchukua makato kutoka benki bila ridhaa yako na kivipi inawezekana wakati a/c ya mtu ni yake binafsi?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu iyo ni saccos . Nasikia wameanza makubaliano na baadhi ya benk i.e nmb bank makato yao yanakatwa directly kwenye salary yako so hawakai na kadi ya mtu now
 
Hii banki wakubwa sio kabisa. Wafanyakazi wake wana nyodo sana . Wanatengeneza sana mazingira ya rushwa rushwa kiujumla ni wapuzi. Naomba wataalamu muweke utaratibu wa kuhamisha account za mishahara kutoka bank moja kwenda nyingine unakuwaje niwahame hawa washenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika experience yangu ya benki za ndani
1. NMB
2. CRDB
3.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom