R reginahope Senior Member Mar 26, 2013 163 30 Oct 21, 2013 #1 jaman nafasi walizotangaza nmb kanda ya kaskazin vp washaita?
M mwalemi Member Feb 25, 2013 45 1 Oct 23, 2013 #2 unataman kuitwa benk officer mwenyewe kwan lzm ufanye kazi bank usumbufu tu
PSPA Pure'12 udsm JF-Expert Member Jan 11, 2013 829 443 Oct 23, 2013 #3 Za kusini walizoanza kutangaza hawajaita hadi lei,huko kaskazini si wametangaza juzi tu???
O operamini Member Sep 26, 2013 22 3 Oct 23, 2013 #4 pspa pure'12 udsm said: za kusini walizoanza kutangaza hawajaita hadi lei,huko kaskazini si wametangaza juzi tu??? Click to expand... ndugu yangu kusini yasemekana ni watu 4 na si 30 kama walivyotangaza. Umesikia kitu kama hiki?
pspa pure'12 udsm said: za kusini walizoanza kutangaza hawajaita hadi lei,huko kaskazini si wametangaza juzi tu??? Click to expand... ndugu yangu kusini yasemekana ni watu 4 na si 30 kama walivyotangaza. Umesikia kitu kama hiki?