Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,749
Ninavumilia tu ila siipendi NMB
Acha ushamba huu n mwez wa customers dunian kla bank kla shrka wanawapa wateja wao zawad kama pp kek na kadhalka nakushangaaa huulz kabla ya kutenda
Kwenye matawi kadhaa ya NMB nimeona kampango ka kitapeli ka kuweka pipi counter!
Sijui lengo lao ni nini hasa. Lakini kama makerting wenu kawaambia ni customer care basi kawatapeli.Tunawaletea malalamiko meengi kuhusu huduma zenu,badala ya kutatua mnaletea pipi.
Kabisa afisa wa benk anapita kwenye foleni kugawa pipi wakati madirisha kadhaa hayana tela,wakati kule nje ATM hazitoi huduma,wakati mtandao mbovu, wakati masista duh wenu wanawabedulia midomo wateja wenu.Hatutaki pipi tunataka huduma bora na za haraka, unless mseme kama mnaona raha kutuona na foleni reeefu.
Preta ninakupenda sana.Hiyo wiki imekwisha............?.....dadeki nimepitwaje..........nielekeze ni wapi na wapi niende nikale mablack forest na ma ferrero mie.........
Customer service ya Tanzania ni mbovu sana
Hiyo wiki imekwisha............?.....dadeki nimepitwaje..........nielekeze ni wapi na wapi niende nikale mablack forest na ma ferrero mie.........