Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
Nmepata tatizo wakati wa matumizi yangu ya atm card... Nikajaribu kupiga simu NMB customer service ili nipate ufumbuzi.. Cha ajabu naambiwa kituo cha huduma kwa wateja kimefungwa na kinafunguliwa siku za kazi saa moja hadi saa mbili usiku.. Ni vipi sasa hivi saa kumi na moja naambiwa kituo kimefungwa..
Na kingine nachojiuliza ni vipi huduma za benk hasa atm machine zinafanya kazi saa 24 wakat customer service zinaishia saa mbili what if mtu akapata tatizo kama ka kuibiwa ela kwenye acount maana wizi kama huo siju hz unatokea sana atapataje huduma? Kwa kweli am disappointed na hizi huduma