Nliwabamba lady doctor na Arushaone wakisalimiana

Nliwabamba lady doctor na Arushaone wakisalimiana

Mkuu umeadimika sana, uko salama?
Paw rafiki yangu sana, nilisoma nae chekechea
nilimuacha huko nikaingia darasa la kwanza.


Salama kabisa mkuu Mwanyasi tupo mkuu tunapambana
Mhhh ina maana Paw alirudia chekechea
Naona bado unazidi kutafuta ugomvi na mheshimiwa sana Paw
 
Last edited by a moderator:
Nibora wangesalimiana kwakupeana mikono tu, hivyo wameharibu kabisa maana ya kusalimiana kwa kukumbatiana. Watumishi bwana mbona hata neno linasema salimianeni kwa busu takatifu wao wanaogopa nini!
 
Back
Top Bottom