Nkuruzinza akiwa kijana

Nkuruzinza akiwa kijana

Hao jamaa zake kawakumbuka kweli?


Mmoja wao alimfunga gerezani miaka 13 wakati ndie aliyempokea, kwa kisingizio cha kutaka kuharibu aman ya nchi. Ila yasemekana kua mnamo mwezi wa tatu alitoroshwa gerezani na wapambanaji wenzake.
 
Bulldog kuna msemo unasema life starts at 40, hata watu wa mapenzi wanasema huo ndo muda mtu anaenjoy mapenzi.

Kwa hiyo sasa ndo kwanza mambo yanaanza kwake.

Huyu Nkurunzinza kazaliwa Dec. 1963 hivyo miaka yake inazidi 40.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom