Maisha yanabadilika haraka
bila shaka kwa sasa kajificha iringa kwa ndugu yake.
bila shaka kwa sasa kajificha iringa kwa ndugu yake.
Kama ni hivyo, basi hakuna kijana hapa duniani40 years ni mzee
Kama ni hivyo, basi hakuna kijana hapa duniani
Bulldog kuna msemo unasema life starts at 40, hata watu wa mapenzi wanasema huo ndo muda mtu anaenjoy mapenzi.
Kwa hiyo sasa ndo kwanza mambo yanaanza kwake.
Watoto ni chini ya miaka 15. Vijana ni kati ya miaka 15 hadi 34. Watu wazima ni 35 hadi 54, Wakomavu ni 55 hadi 74. Wazee ni 75-94, 95+ ni vikongwe.Below 35 ndo vijana. Hao wengine tunalazimisha
Papaa Pierrendugu yake nani?
Nao pia ni vijana wa siku nyingi.Below 35 ndo vijana. Hao wengine tunalazimisha
Nao pia ni vijana wa siku nyingi.
katika umri huu kitu cha ajabu utashangaa
unapendwa na watu wote,hasa vibinti vidogo
sijui ni kwa nini.