Nkurunziza: Nitalipiza Kisasi

Nkurunziza: Nitalipiza Kisasi

Huyo mburula humjui Rafiki yangu, hiyo reason anayosema ni Kagame kuivamia Burundi. Hata hizo vurugu zinazotokea ni akina Mchambawima, Koba et al wanaozichochea kisa mhutu aonekane failure. Watanzani kumbukeni wakati wa COW yeye ndo alikuwa upande wetu. Kwahiyo akina mchambawima wanalipa kisasi.

cyberspace ndio maana PN karudi madarakani
 
Last edited by a moderator:
Usiseme Waafrika tuna mawazo finyu sema wewe na familia yako ndio mna mawazo finyu. Burundi ina jumla ya watu milioni 10.16 Waliokimbia ni 105,000 wanaoandamana hawazidi 70,000 tufanye jumla waliokimbia na wanaoandamana wako 300,000. Ukiangalia hizo takwimu utaona tofauti ya 9,700,000 bado wana imani na rais wao. Kama hao wachache hawamtaki si wasubiri ballot box.

Burundi sio bujumbura peke yake. Waambie hao bbc na cnn waende Ngozi na mikoa mingine ndio watajua jinsi nkurunziza anavyopendwa. Msikae mkakumbatia propaganda mnazolishwa bila kushirikisha ubongo wenu.

hata katika hao waliokimbia, waliokuja bongo wamekimbia vurugu sio necessarily Nkurunziza, wanaompinga Nkurunzinza wako kwenye baadhi ya vitongoji Bujumbura tu.
 
Nimejaribu kurudia kuisoma hiyo habari tena na tena ja sioni hicho kisasi ambacho amesema atalipa.

Hapa kutakuwa na tatizo la utafsiri tu wa lugha, kusema NITALIPA KISASI DHDI YA YEYOTE ANAYEJARIBU KUWASHA MITO WA UHASAMA MIONGONI MWA WABURUNDI hii moja kwa moja ni kuwa NITALINDA UMOJA WA WABURUNDI NA HATUTAMVUMILIA YEYOTE ANAYETAKA KUUVUNJA UMOJA HUU.

Sielewi how come hayo maneno yana maana ya kulipa kisasi cha waliotaka kumpindua kama kama watu wanavyotaka kutafsiri.Hawezi kufanya hivyo.Nkurunzinza sio Kagame.
 
Mapinduzi yakishindwa lazima huwa hivyo jamaa, awakomeshe kabisa wanaofikiria kuchuaa nchi kwa mapinduzi, wala asihofu, mtu anakwenda kujadili suala hilo harafu unatangaza mapinduzi?? dharau kubwa kwa TZ na Rais wote wawili, hatupendi mapinduzi ikiwezekana wanyongwe tuuuuu tena hadharani.
 
Baadhi ya watu uchambuzi wao ni wa kushangaza mno. Vijana wengi wasio na kazi pale Bujumbura wameandamana na halafu eti wanaitwa ndio umma haumtaki Nkurunziza. Halafu habari zenyewe zinanukuliwa BBC,Aljezera, CNN na western media nyingine Kwa nini media hizo zisiende nje ya Bujumbura kuwahoji watu huko kama hawamtaki huyo Nkurunziza?
 
Wanaoandamani bujumbura ni wavuta bange na wanywa viroba...jeshi limekuwa pole mno..yaani wale ni wa kutwangwa risasi saa hizi wangekuwa wanazika mizoga ...
 
Nimejaribu kurudia kuisoma hiyo habari tena na tena ja sioni hicho kisasi ambacho amesema atalipa.

Hapa kutakuwa na tatizo la utafsiri tu wa lugha, kusema NITALIPA KISASI DHDI YA YEYOTE ANAYEJARIBU KUWASHA MITO WA UHASAMA MIONGONI MWA WABURUNDI hii moja kwa moja ni kuwa NITALINDA UMOJA WA WABURUNDI NA HATUTAMVUMILIA YEYOTE ANAYETAKA KUUVUNJA UMOJA HUU.

Sielewi how come hayo maneno yana maana ya kulipa kisasi cha waliotaka kumpindua kama kama watu wanavyotaka kutafsiri.Hawezi kufanya hivyo.Nkurunzinza sio Kagame.

Hujaelewa nini? Atawanyonga kulipa kisasi..
 
KAPWELA....Hii habari ya kwamba 'nitalipiza kisasi' siyo bahati mbaya na wala hawajakosea katika kutafsiri. Wameandika hivyo makusudi ili kupotosha na ionekane kuwa Nkuruzinza ni mtu wa kisasi. Wanataka kuonewa huruma. Ni propaganda. Fahamu kuwa wale majemadari watatu waliokamatwa walipiga simu kwanza kwenye vyombo vya magharibi kuwa wanajisalimisha. Mmoja wao aliweka simu on wakati wanakamatwa ambapo mwandishi wa BBC alikuwa anasikiliza. Hii ni mbinu kuwa wasiuawe au wasiteswe.. Maji yaliwafika shingoni kwa hiyo salama yao ni huruma ya international society. utaona kuwa ndugu zao wameanza kudai kuwa majenerali hao eti waliteswa. Sasa kumbe iwe nini? Yaani wahaini wabembelezwe?
 
Baadhi ya watu uchambuzi wao ni wa kushangaza mno. Vijana wengi wasio na kazi pale Bujumbura wameandamana na halafu eti wanaitwa ndio umma haumtaki Nkurunziza. Halafu habari zenyewe zinanukuliwa BBC,Aljezera, CNN na western media nyingine Kwa nini media hizo zisiende nje ya Bujumbura kuwahoji watu huko kama hawamtaki huyo Nkurunziza?

Wewe unashangaza zaidi, na wanaokimbia Burundi wanakimbia nini?
 
hata katika hao waliokimbia, waliokuja bongo wamekimbia vurugu sio necessarily Nkurunziza, wanaompinga Nkurunzinza wako kwenye baadhi ya vitongoji Bujumbura tu.

Nashukuru kwa kunielewa. Kuna baadhi ya watu humu kutokana either na mawazo finyu au kutokujua nini maana ya siasa na kushindwa kutambua tofauti ya propaganda na uhalisia wanakazania kutoa comments eti nkurunzinza aondoke kwa kuwa wananchi hawamtaki. Si ajabu hata majirani zetu wanatucheka baadhi ya vijana wa kitanzania kwa kuwa na mawazo mgando na kukubali kulishwa taarifa zisizo na ukweli na uhakika kisa tuu tunataka malengo ya wapinzani wa burundi yafanane na ya kwao.
 
Wewe unashangaza zaidi, na wanaokimbia Burundi wanakimbia nini?

Wanaokimbia burundi ni maskini wasioweza kujishughulisha na pia ni wale ambao vita vilivyopita vikawaacha bila dira wala muelekeo. Hao wote waliokimbia jiulize kwanini hawakuenda sehemu nyingine yoyote zaidi ya kuelekea moja kwa moja katika makambi ya wakimbizi. Jaribu kutofautisha kati ya WAKIMBIZI NA WANAOKIMBIA MAISHA MAGUMU. Wengi hao wameona hiyo ni opportunity kukimbilia ktk sehem yenye unafuu wa maisha.

Wewe jaribu tuu kufikiri nchi ambayo maduka yako wazi, shule ziko wazi watu wanaenda makazini then mtu anakimbia eti ukimbizi kwao hakukaliki. Hao hawana tofauti na wale WAPEMBA waliokimbilia Somalia na kutafuta hifadhi ya ukimbizi miaka ile ya MKAPA.
 
Kimbley;
Kwa hiyo weye unashauri kwamba Pierre amnyonge hadharani?? Pierre ana haki gani ya kuwatawala watu wasio mtaka? Siku zote uelewe, ukiwatawala wasio kutaka, hutalala usingizi kamwe.
Si ninasikia kuwa huyo Pierre ni Mlokole au ni maneno tu. Lazima aelewe kuwa neno la Mungu linasema kuwa kisasi ni cha Mungu wala sisi tusilipize kisasi. Amshukuru Mungu kuwa amemrudishia madaraka wala hakumpa mamlaka ya kuua.
Tena neno linasema; Adui mpende wala sio umuue. Weye nnani unamwua mwenzio? Waangalie wauaji, hawana mwisho mwema. Kwani lazima ung'ang'anie haya madaraka? Hawaoni kina Generali Obasanjo. Wanaheshimika kila mahali
kama mahakama itawahukumu kunyongwa si yeye ni mahakama na walijua wakifeli matokeo ndio hayo,kama kweli raia wengi hawamtaki sioni tatizo la kutosubiri uchanguzi ashindwe.haiwezekani kama mtu hamuwezi wanazimisha fujo hasigombe hiyo si demokrasia
 
Hujaelewa nini? Atawanyonga kulipa kisasi..

Hawezi kufanya hivyo.Atawatia jela tu.

Ila nina hofu yule kiongozi yule Kiongozi wa mapinduzi "wanajeshi watiifu "watakuwa waliishamalizana nae CASH bila "ruhusa ya Nkurunzinza", maana last time alipopiga simu kwa waandishi wa vyombo vya kimataifa siku mbili zilizopita aliwaambia anaenda kujisalimisha lakini mpaka leo BADO HAJAKAMATWA!!

Nina hofu yawezekana ameishatangulia kimyakimya...
 
Wanaoandamani bujumbura ni wavuta bange na wanywa viroba...jeshi limekuwa pole mno..yaani wale ni wa kutwangwa risasi saa hizi wangekuwa wanazika mizoga ...

Kigogo unaonekana ni kabila moja na Nkurunziza lakini matatizo ya Burundi sio ukabila ni politics tuu.
 
kurunzinza ni kichaa.nchi imetoka juzijuzi tu kwenye mapigano hajatulia jamaa anavunja makubaliano yalio kwenye katiba.maafrika mashenzi kama linkurunza yanaharibu sifa ya afrika yanapaswa kuangamizwa.mbona Mandela alitawala miaka miwili tu pamoja na mate so aliyoyapata kutoka kwa makaburu
 
Na kagame naye? mbona katawala muda mrefu kuliko nkuruzinza?
 
Back
Top Bottom