Nkurunziza: Nitalipiza Kisasi

Nkurunziza: Nitalipiza Kisasi

Naona unaendeleza chukizako, tupe link inayo wahusisha FDRL kutoa mafunzo Chambawima1 sikuzote huwa una chuki lakin kama NKURUNZINZA atafanya kulipiza basi atakuwa kaiga kwa KAGAME, na itakuwa ni tatizo kwa Burundi kuwa na amani jMali nikweli FDRL wanahusika?
haya sasa Burundi: UN Security Council receives details of assassinations of 22 opposition leaders , hivi ipo mikononi mwa UN sema yule basha wao kina jMali sijui kama ataifwatilia ipasavyo! ila si hatujari kwa kawaida huwa hatusubili maamuzi ya wanafiki wa UN
 
Kimbley;
Kwa hiyo weye unashauri kwamba Pierre amnyonge hadharani?? Pierre ana haki gani ya kuwatawala watu wasio mtaka? Siku zote uelewe, ukiwatawala wasio kutaka, hutalala usingizi kamwe.
Si ninasikia kuwa huyo Pierre ni Mlokole au ni maneno tu. Lazima aelewe kuwa neno la Mungu linasema kuwa kisasi ni cha Mungu wala sisi tusilipize kisasi. Amshukuru Mungu kuwa amemrudishia madaraka wala hakumpa mamlaka ya kuua.
Tena neno linasema; Adui mpende wala sio umuue. Weye nnani unamwua mwenzio? Waangalie wauaji, hawana mwisho mwema. Kwani lazima ung'ang'anie haya madaraka? Hawaoni kina Generali Obasanjo. Wanaheshimika kila mahali

Gathara.jpg
 
ndio ni ya kwako!

OK basi ngoja nikujibu maana naona umeamua kuniongezea maneno ambayo sijazungumza!
1.Niliuliza unajua sababu za Niyombare kupelekwa ubalozini kenya??hukujibu chochote
2.Hakuna sehemu ambayo nimeelezea sababu za Niyo kufukuzwa wala kupelekwa kenya kama balozi bali niliuliza maswali hayo wewe unipe maelezo!badala yake umekuja na povu lakusema sina ninachokijua ilihal sijazungumza sababu za yeye kufukuzwa!na vilevile sikukuuliza wewe ila hiyo haijalishi,wewe ungejibu kama nilivyouliza.

Elewa mtu anachokiandika,usipende league lisilo kuwa na sababu!!
 
Mimi simtetei Pierre naomba uelewe!hivi mnafahamu huu mzozo chanzo chake jamani??Pierre kosa alilolifanya ni kubadili katiba na kujihalalishia kugombea tena kwa mara ya tatu!!na sio kutawala tena kimabavu kama ulivyozungumza!

Warundi walikuwa na haki ya kumkataa PIERRE kwenye box ya kupigia kura,ijapokuwa sipingi maandamano yao.

Unajua kwanini Niyombare alipelekwa kenya kama balozi?na unajua kwanini Niyombare alifukuzwa kwenye idara ya ujasusi burundi miezi mitatu iliyopita?
Halafu hakuna sehemu nimeiunga mkono au kukubali kwamba PIERRE amuue Niyombare.

hebu wacha kupoteza wakati kama mambo hauyajuwi!!! jamaa alipigwa chini na baadaye kidogo habari ika leak, upo hapo? tatizo lilikuwa ni kwamba, alimtuma kumfanyia uchunguzi ya jinsi wananchi wanavyo mwona! jamaa akaenda akamtengenezea report ya kurasa 15 ambayo inasema chama chao kiko popular sana na kitachaguliwa kwa asilimia kubwa nchini Burundi lakini endapo Nkurunziza atakuwa sio candidate kwa mara ya tatu, siunajuwa tena waafrika hatupendi kuambiwa ukweli mchungu? hapo ndio jamaa akaanza kumuona nuksi na kumfuta kazi!

Wapi mimi nimeelezea sababu ya Niyo kufukuzwa!??
 
Naona unaendeleza chukizako, tupe link inayo wahusisha FDRL kutoa mafunzo Chambawima1 sikuzote huwa una chuki lakin kama NKURUNZINZA atafanya kulipiza basi atakuwa kaiga kwa KAGAME, na itakuwa ni tatizo kwa Burundi kuwa na amani jMali nikweli FDRL wanahusika?

FDLR wahusike vipi na wameshasambaratishwa? Kagame na extremists wenzake huwa hawataki kusema idadi kamili ya interahamwe ni ngapi, idadi ya FDLR ni ngapi. Ukienda Rwanda utakuta malaki ya wahutu wamefungwa kwa kisingizio cha kwamba walikuwa interahamwe. Lakini ukiangalia idadi yao ni kubwa mno kupita kiasi, its impossible kuwa na interahamwe wote wale. Mfano CCM yote ina wanachama hawazidi mil 5, huwezi ukawa na UVCCM ndani ya CCM hiyo hiyo yenye watu mil10! Obviously hao sio wanachama wa UVCCM wala CCM yenyewe.
Kagame alikuwa muasi, vijana wazalendo hawakutaka apindue nchi, hivyo wakaingia mtaani kupigana na RPF kama wazalendo wengine tu, hilo halikuwafanya wawe nao interahamwe.
Hivyo ukisikia mtu anaitwa interahamwe ujue kwa kifupi ni adui tu wa kagame na sio interahamwe wa kweli. Idadi ya wahutu ambao kagame kawafunga akidai ndio interahamwe imeshazidi interahamwe yenyewe mara dufu!
Ukija FDLR ni hivyo hivyo tu. UN iko pale DRC kwa miaka mingapi? Hivi inawezekanaje eti waingie waburundi wa Imbonerakure waendeshe kambi za mafunzo na FDLR chini ya uangalizi wote huo wa jumuiya ya kimataifa? Wanapitia wapi? Na kwa nini taarifa za FDLR/interahamwe/imbonerakure huwa ni kagame tu ndio mwenye nazo na hutazipata sehemu nyingine yoyote ile? Hizi ni propaganda tu, shida ya huyo bwana ni kabila la Nkurunzinza sio vinginevyo.
 
Mimi simtetei Pierre naomba uelewe!hivi mnafahamu huu mzozo chanzo chake jamani??Pierre kosa alilolifanya ni kubadili katiba na kujihalalishia kugombea tena kwa mara ya tatu!!na sio kutawala tena kimabavu kama ulivyozungumza!

Warundi walikuwa na haki ya kumkataa PIERRE kwenye box ya kupigia kura,ijapokuwa sipingi maandamano yao.

Unajua kwanini Niyombare alipelekwa kenya kama balozi?na unajua kwanini Niyombare alifukuzwa kwenye idara ya ujasusi burundi miezi mitatu iliyopita?
Halafu hakuna sehemu nimeiunga mkono au kukubali kwamba PIERRE amuue Niyombare.

Mkuu Nkurunziza hajabadilisha katiba, bali utata ulikuja kwenye tafsiri ya kifungu kwenye hiyo katiba... Makubaliano ya Arusha ilikuwa raisi atakayechaguliwa na wananchi ataruhusiwa kugombea mara mbili ( miaka mitano mitano), baada ya kupitisha sheria hiyo Pierre akachaguliwa na ile kamati kuiongoza nchi katika kipindi cha mpito.
Baada ya miaka mitano ndo uchaguzi ukafanyika na Pierre akachaguliwa na wananchi.. Sasa ye point yake ni kuwa anatakiwa agombee tena kwa sababu miaka mitano ya kwanza (kipindi cha mpito) hakuchaguliwa na wananchi kama kifungu hicho kinavyosema bali alichagulia na kamati.
Kitu hiki waTz wengi hatukijui tunaishia kubwabwaja tu.

Asante
 
Naiona Burundi ikiingia katika vita ambayo inaweza kuwa mbaya kuwa kutokea katika historia ya nchi hiyo.mungu awanusuru
 
Nkurunziza ni mtu mpole sana..hao walitakiwa wawe wameshauwawa as we are speaking
 
Naiona Burundi ikiingia katika vita ambayo inaweza kuwa mbaya kuwahi kutokea katika historia ya nchi hiyo.mungu awanusuru
 
Mkuu Nkurunziza hajabadilisha katiba, bali utata ulikuja kwenye tafsiri ya kifungu kwenye hiyo katiba... Makubaliano ya Arusha ilikuwa raisi atakayechaguliwa na wananchi ataruhusiwa kugombea mara mbili ( miaka mitano mitano), baada ya kupitisha sheria hiyo Pierre akachaguliwa na ile kamati kuiongoza nchi katika kipindi cha mpito.
Baada ya miaka mitano ndo uchaguzi ukafanyika na Pierre akachaguliwa na wananchi.. Sasa ye point yake ni kuwa anatakiwa agombee tena kwa sababu miaka mitano ya kwanza (kipindi cha mpito) hakuchaguliwa na wananchi kama kifungu hicho kinavyosema bali alichagulia na kamati.
Kitu hiki waTz wengi hatukijui tunaishia kubwabwaja tu.

Asante

sasa katiba imeandikwa wapi kwamba mtu akichaguliwa na kamati kipindi hicho cha mpito hakihesabiki? tena kakaa miaka 5! kipindi cha mpito si mwaka tu unatosha kufanya uchaguzi,mna haki kupinduliwa makenge nyie,yaani nyie mmekutana hakuna mwenye afadhali si hutu wala tusi, muuane tu mpaka muishe watu wapumzike, vinchi vyenyewe vidogo lakini matata! hivi tukisema mgawane basi hiyo burundi kama sudan mtakubali? yaani burundi hutu na burundi tusi na rwanda hivyo hivyo,kwahiyo sasa tunapata vinchi vinne,hivi mtatulia nyie ?mnajua mnasumbua sana halafu nchi zenyewe hamna lolote kazi ukabila tu aagrr
 
Waafrica tunamawazo finyu sana kwani nchi nzima aliumbwa aongoze yeye milele

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Usiseme Waafrika tuna mawazo finyu sema wewe na familia yako ndio mna mawazo finyu. Burundi ina jumla ya watu milioni 10.16 Waliokimbia ni 105,000 wanaoandamana hawazidi 70,000 tufanye jumla waliokimbia na wanaoandamana wako 300,000. Ukiangalia hizo takwimu utaona tofauti ya 9,700,000 bado wana imani na rais wao. Kama hao wachache hawamtaki si wasubiri ballot box.

Burundi sio bujumbura peke yake. Waambie hao bbc na cnn waende Ngozi na mikoa mingine ndio watajua jinsi nkurunziza anavyopendwa. Msikae mkakumbatia propaganda mnazolishwa bila kushirikisha ubongo wenu.
 
Na ataingia tena msituni
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1431811041433.jpg
    uploadfromtaptalk1431811041433.jpg
    76.4 KB · Views: 342
FDLR wahusike vipi na wameshasambaratishwa? Kagame na extremists wenzake huwa hawataki kusema idadi kamili ya interahamwe ni ngapi, idadi ya FDLR ni ngapi. Ukienda Rwanda utakuta malaki ya wahutu wamefungwa kwa kisingizio cha kwamba walikuwa interahamwe. Lakini ukiangalia idadi yao ni kubwa mno kupita kiasi, its impossible kuwa na interahamwe wote wale. Mfano CCM yote ina wanachama hawazidi mil 5, huwezi ukawa na UVCCM ndani ya CCM hiyo hiyo yenye watu mil10! Obviously hao sio wanachama wa UVCCM wala CCM yenyewe.
Kagame alikuwa muasi, vijana wazalendo hawakutaka apindue nchi, hivyo wakaingia mtaani kupigana na RPF kama wazalendo wengine tu, hilo halikuwafanya wawe nao interahamwe.
Hivyo ukisikia mtu anaitwa interahamwe ujue kwa kifupi ni adui tu wa kagame na sio interahamwe wa kweli. Idadi ya wahutu ambao kagame kawafunga akidai ndio interahamwe imeshazidi interahamwe yenyewe mara dufu!
Ukija FDLR ni hivyo hivyo tu. UN iko pale DRC kwa miaka mingapi? Hivi inawezekanaje eti waingie waburundi wa Imbonerakure waendeshe kambi za mafunzo na FDLR chini ya uangalizi wote huo wa jumuiya ya kimataifa? Wanapitia wapi? Na kwa nini taarifa za FDLR/interahamwe/imbonerakure huwa ni kagame tu ndio mwenye nazo na hutazipata sehemu nyingine yoyote ile? Hizi ni propaganda tu, shida ya huyo bwana ni kabila la Nkurunzinza sio vinginevyo.
Interahamwe opportunist trying so hard to connect Kigali na huu upuuzi and we know why,Rwanda is past that imbonerakule stone age na hawana muda huo tena,hizo nchi mbili is like day and night lakini thank God upuuzi mliofanya 94 si rahisi kutokea Burundi for one reason ambayo wewe unaijua 100%..pole sana.
 
Mbona jMali kaelezea kila kitu kwa uwazi? mbona wewe unafichaficha? eleza tukuelewe hiyo reason unayoisema wewe.
 
Last edited by a moderator:
Muda huu pk kichwa kinamuuma mno maana hajaamini kama plot yake imeshindwa. Inabidi ajipange upya
 
Mbona jMali kaelezea kila kitu kwa uwazi? mbona wewe unafichaficha? eleza tukuelewe hiyo reason unayoisema wewe.

Huyo mburula humjui Rafiki yangu, hiyo reason anayosema ni Kagame kuivamia Burundi. Hata hizo vurugu zinazotokea ni akina Mchambawima, Koba et al wanaozichochea kisa mhutu aonekane failure. Watanzani kumbukeni wakati wa COW yeye ndo alikuwa upande wetu. Kwahiyo akina mchambawima wanalipa kisasi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom