Nkunda yupo wapi ?

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,114
Wakuu nauliza yupo wapi yule mtusi aliyekuwa anapigana kongo ? Maana niliskia alikamatwa na Rwanda .Na ni Nini kimejificha nyuma ya ile vita aliyokuwa anapigana kule kongo ? Najua kuna watu watakuwa na idea kidogo na huu mchezo.
 
Bado yupo rwanda hawajampeleka kokote yule ni swahba wa kagame hawez kusumbuliwa c unaona hata ocampo katulia
 
yupo zake rwanda wanaita house arrest lakini wapi kafichwa anakula bata ndani kwa ndani,hiyo yote ni ili asikamatwe akatoa siri nani walimtuma kupigana vita ile
africa zaidi ya uijuavyo
 
mbona Rwanda hawampelek imahakamani ? nini kimejificha nyuma ya pazia ?
 
kuna sehemu nimewahi kusoma historia ya vita ya drc wanasema laurent kabila aliwashirikisha rwanda na uganda katika vita ya kumpindua mabutu kwa ahadi ya kuwagawia mkoa wa kivu kuwa ni makazi ya wanyarwanda(kusini) na waganda-kaskazini. Baada ya jamaa kufanikiwa hakutekeleza hiyo ahadi. Jamaa wakaingiza majeshi yao kwa lazima kwa kisingizio cha kuwalinda wanyarwanda. Lengo lilikuwa kuteka ile miji iwe chini yao waendelee kuchimba madini. Baada ya kufanikisha zoezi la kumuua kabila inaonekana aliyepokea kijiti naye akawa mbishi. Inaonekana baadaye walifanikiwa kumshawishi jose kwamba yeye ni mtutsi hivyo anatakiwa kulinda maslahi ya wanyarwanda. Wakakubaliana kusitisha hujuma kwa kuudanganya umma kwamba nkunda amekamatwa na anashikiliwa na serikali ya rwanda. Kagame ni noma.
 
kama ni kweli basi kagame ni noma.
 
Kama alikuwa anapigana vita si ungetakiwa afunguliwe mashtaka?
 
Meja Jenerali Laurent Nkunda bado yuko Rwanda na kwasasa amepewa kazi maalumu na Serikali ya Rais Paul Kagame.Hakuna dalili zozote za kurejeshwa DRC au hata kufunguliwa mashtaka.Nkunda ni Mnyarwanda...mnyarwanda(Kagame) hawezi kumsaliti mnyarwanda mwenzake(Nkunda).
 
Huenda hata alikuwa jasus wa kagame nchin kongo, kwa hiyo kusema nkunda amekamatwa ni mbinu pia ya kijasus kumlinda asidakwe na mataifa mengine. Dont play with kagame bwana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom