Nkubalien pliz!

asante..hii familia ya kiafrika haswa..yaan boonge la extended family apa..adi nashindwa mi nijipe jina gani..labda mpwa linafaa ivi..asante sn
 

nashukuru wifi yangu snowhite, mimisa karibu na pacha wa wifi yangu ndo managing director wangu (SnowBall)
 
hapana shem usiniwazie vibaya... nlikuwa nawaza kwa sauti tu.... jambo lenyewe halipo tena katika tamaduni zetu
ila mila zenu zile za kaka yako kuondoka lwenda town af mzee wa mji kugonga kwenye mengele yangu uuuwih!bora iliisha i see!
 
ila mila zenu zile za kaka yako kuondoka lwenda town af mzee wa mji kugonga kwenye mengele yangu uuuwih!bora iliisha i see!

hahahahhahahah hivi ingekuwepo halafu ukapelekwa kule mgombani ungefanya nini? ungerudi Songea?
 
hii iko poa sn..nimeipenda..nawaomba viongozi wa familia watoe idhini kwa mimi kua mmoja wao...navutiwa na mlivo wengi
mimisa umeona ilivyo raha!yani kakangu SnowBall ndo managing director wa wifi yangu sakapal
hebu na we tafuta banaaa!familia zote hiz!chagua mwaya pa kuingia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…