Mbona hii ni topic umeshaianzisha tayari?!Fuata hizo hatua ulizofuata mpaka kupost hii....kama hukumbuki nenda tu kwenye jukwaa husika (unapotaka kupost...panapoongelewa unachotaka kupost) alafu angalia juu upande wa kushoto nadhani kuna sehemu imeandikwa NEW TOPIC..click hapo andika unachoandika pamoja na kichwa cha habari kisha bonyeza SUBMIT NEW TOPIC!