dadangu, hayo mabadiliko kama yapo basi ni kiduchu sana na hivyo kupelekea kuonekana kama hayapo.
Mkuu point yangu ni kwamba culture yetu ya sasa imekuwa mbovu, yaani ufisadi mwanzo mwisho, hakuna kuwajibika, enzi za zamani mtu alikuwa akiiba au kula rushwa tunamuona kama mwizi, lakini sasa kula rushwa na kuiba ndio ujanja, ukipata kazi leo usipojenga in two years time unaonekana mjinga na umezubaa, therefore kuna hii cancer mbaya sana ambayo imeshaingia kwenye damu yetumkuu generalization pia sio nzuri
mimi naamini hata ndani ya ccm wapo wenye uchungu na uadilifu
na hata ndani ya chadema kuna corrupt leaders...
tatizo ni mfumo unaotegemea zaidi mtu mmoja
tunahitaji mfumo ambao rais atawajibishwa na atapewa
guideline ya nini anatakiwa kufanya na nini haruhusiwi kufanya
Tukikata tamaa hivi NN, HAPANA!
Unadhani toka watanzania waanze kusema hakuna mabadiliko?
Mkuu point yangu ni kwamba culture yetu ya sasa imekuwa mbovu, yaani ufisadi mwanzo mwisho, hakuna kuwajibika, enzi za zamani mtu alikuwa akiiba au kula rushwa tunamuona kama mwizi, lakini sasa kula rushwa na kuiba ndio ujanja, ukipata kazi leo usipojenga in two years time unaonekana mjinga na umezubaa, therefore kuna hii cancer mbaya sana ambayo imeshaingia kwenye damu yetu
The only way labda ni kupata some sort of dictator ambaye atakuwa haangalii sura na kuwa-punish watu, unajua rushwa na ufisadi ni tabia na culture ya watu kuwabadilisha ni kazi; mfano Japanese are hard workers, hiyo ni tabia yao, na mimi nadhani tunakoelekea sasa ni kuwa na tabia ya uvivu, ufisadi na upenda rushwa.., Tusipoangalia kurudi kwenye mstari itakuwa tabu, hata tukipata kiongozi kama Obama, Gandhi, Mandela all in one parcel..
Bongolander what you are saying is true... thus kwa level head inatakiwa kuongeleaKuna wakati Nyani Ngabu anaonekana kuwa too critical kwa "miafrika" lakini anachosema ni kweli kabisa. Ni mabadiliko gani tunayoweza kuita ni mabadiliko? Have lives of Tanzanians changed? Has our parliament changed that much? Kweli kuna wabunge makini kiasi bungeni wenye mapenzi na uzalendo wa dhati kwa Tanzani, lakini je what impact has their presence brought to our politics? Is it significant?
Naona bado kuna uswahili ubabaishaji na uafrika anaousema NN.
ajabu ni kuwa we are talking of rais anayekuja badala ya kukaa na kuangalia namna ya kudeal na hali ya sasa. Tunazungumzia rais badala ya urais, President instead of presidency.
JK anatumia wekaness zote zilizopo kwenye presidency ku-capitalize on his benefit, kwa hiyo tunatakiwa kuhakikisha kuwa mtu atakayekuwa raia wetu a-play by the rules na sio by his/her own will.
wos
tanzania sio executive president???
are you sure???????????
how???????
what kind a president that we have?
indian type???????? sidhani....
hebu check ur facts kwanza....
Kuna wakati Nyani Ngabu anaonekana kuwa too critical kwa "miafrika" lakini anachosema ni kweli kabisa. Ni mabadiliko gani tunayoweza kuita ni mabadiliko? Have lives of Tanzanians changed? Has our parliament changed that much? Kweli kuna wabunge makini kiasi bungeni wenye mapenzi na uzalendo wa dhati kwa Tanzani, lakini je what impact has their presence brought to our politics? Is it significant?
Naona bado kuna uswahili ubabaishaji na uafrika anaousema NN.
ajabu ni kuwa we are talking of rais anayekuja badala ya kukaa na kuangalia namna ya kudeal na hali ya sasa. Tunazungumzia rais badala ya urais, President instead of presidency.
JK anatumia wekaness zote zilizopo kwenye presidency ku-capitalize on his benefit, kwa hiyo tunatakiwa kuhakikisha kuwa mtu atakayekuwa raia wetu a-play by the rules na sio by his/her own will.
Boss,
Nakubali una point lakini nami nina point.True yeye ni kiongozi wa ule mhimili wa Executive.Lakini Waziri Mkuu ndio kiongozi wa shughuli zote za serikali.Kwangu mimi naona huyu ndiyo sawa na CEO kiutendaji na kiufanisi.
CEO yeyote yule kazi yake ndiyo mtendaji mkuu na msimamizi mkuu. Tuchukulie kwenye kampuni, yeye atawajibika kwa board iliyomteua.
Assuming that the president ndio mtendaji mkuu, anawajibishwa na nani? Asipodeliver, nani atamfuta kazi?
Tatizo kwenye presidency za nchi zetu za kiafrika, rais ndiye kila kitu!! Anaweza kuteua na kufukuza wengine.Je yeye asipotenda kwa kiwango anawajibika kwanini bila kuangalia sana theoretical side of things. Pia ukisema Katiba inasema hivi na vile, ni mara ngapi hiyo katiba inatumiwa kama rejea na kuwa effective?
Bongolander what you are saying is true... thus kwa level head inatakiwa kuongelea
the whole system of governency na sio JK yeye personally... maana ni system
ambayo Chama tawala imeweka kiasi kwamba haijalishi ni nani kakalia kiti hicho...
Tanzania haitabadilika kamwe hasa kwa Mwananchi wa kawaida mpaka pale
bureaucracy za governing zitapobadilika for the better - ikiwa stapled na Transparency...
acha hii ya uswahili... Transparency in all levels of the governing system...
mkuu dikteata hatatusaidia
ataturudisha nyuma zaidi
tunataka culture ya watu wote washiriki kwenye
masuala yanayohusu taifa
Tutafika tu siku moja, japo wasi wasi wangu tutafika tukiwa TUMECHOKA sana.
Paradiso tarajiwa itakua imebaki na mashimo maana madini yote yameshaondoka,
Jangwa maana miti yote ishakatwa,
Kame maana maji yote hamna na mvua hainyeshi,
Haina hata mjusi maana wanyama wote na Serengeti na mbuga zingine tumezihamishia Arabuni na mashariki ya mbali.
Tutafika tu jamani.............................
mkuu dikteata hatatusaidia
ataturudisha nyuma zaidi
tunataka culture ya watu wote washiriki kwenye
masuala yanayohusu taifa