Njooni tuzungumze

Njooni tuzungumze

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,877
Reaction score
2,069
Ndugu zangu wapendwaa embu kila mmoja wetu ajarib kusema kile asichokipenda katika moyo wakee......... .
 
Wewe Nokia83 embuu ujee huku tuzungumze kitu
 
Last edited by a moderator:
Tupo mamy mm sipendi biashara ya watu kufunga Uzi Khantwe leta ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Na kweli tuongee yetu ila ujumbe kapata
Mfyuuuuuuu

Kashaupata yulee akirudia nta hakikisha na pigwa ban kwaajil yake tumpotezee tuendelee na yetu wasije wakatufutia na huu
 
Kashaupata yulee akirudia nta hakikisha na pigwa ban kwaajil yake tumpotezee tuendelee na yetu wasije wakatufutia na huu

Na kweli tutapata ban
Ila hii movie itaendelea
Siku yaja
 
Mie koo linaniwasha kweli ngoja nami nifanye jitihada za kupata walinzi wa ngazi za juu maana naona bidada anapendwa kweli!

Yan ngoja nkae kimya na hili domo langu chafu....leo nmefungiwa nyuz zaid ya tatu ujue na jana nlifungiwa mbili
 
Kumbe JF imekuwa ya Kipumbavu Namna Hii.....


Admin nyuzi kama hizi Funga mapema tu na Mleta Mada piga BAN.
 
Back
Top Bottom