Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Tena navopenda hao mapacha na ivi cjawahi shika mimba hata ya bahati mbayaa
Wacha we...ya kweli hayo?
Tena navopenda hao mapacha na ivi cjawahi shika mimba hata ya bahati mbayaa
Mm ukinipa mara 1 tu nmekujaza mapacha
Baada ya Mchina kutoa simu za bei rahisi siku hizi hata wapumbavu wanaingia JF.....
Mnaleta mugomvi yenu ya private kwenye public platform....... Hizi ni akili au ni matope.....
Teh! Teh! Teh! Halafu unaikana??
Mm sikani mimba haata cku moja kama sio yangu mtt akizaliwa tu nitajua
Heri yako?
Your fourth ID?
Kweli ila kuna wengine huwa hawapewi ila wanazusha tu!
Mm sikani mimba haata cku moja kama sio yangu mtt akizaliwa tu nitajua
Hahaaa naomba unifate pm hapa uzi huu utafutwaa
staha ya mwanamke inalindwa na kinywachake. habari ya ukifua chujio haitakiwi