Njooni tuzungumze "Live" (Sshhhhh...)

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,988
Nawakaribisha in the next half hour (saa tisa saa za Marekani ya Mashariki) kuzungumza suala yale yanayoendelea katika siasa. Kuna breaking news ambayo nitawanong'oneza mara hii tu... well sikiliza "live".. MwanaKijiji.COM - Home

Karibu
 
Tutaungana na Mhe. Lucas Selelii Mbunge wa Nzega na mmojawapo wa wajumbe wa ile Kamati Teule ya Bunge iliyochunguza mkataba wa Richmond. Karibuni!!!
 
Kama unavyoambiwa Mwanakijiji..."Usiogope" fanya kile unachoona kitamfumbua macho Mtanzania wa kawaida na kumuondoa katika dimbwi hili la umaskini na Manyanyaso kutoka kwa viongozi tuliowachagua wenyewe....Keep on Brother tupo pamoja......Challenges unazopata zichukulie kuwa ni changamoto!!
 
mwawado.. wakati mwingine it is depressing. Ukichukua wale "wawili" kuna watatu naye anakuja huku na anataka kunitumia "salamu"... sometimes inakuwa like "this is too much".. so ninapowasikia kina Selelii I really get encouraged kwamba may be.. and only may be tutachangia tone la maji katika bahari ya historia ya mabadiliko nchini mwetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom